- Thread starter
- #101
Ndoto
Baada ya comments nadhani umejifunza jinsi ya ku comment
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndoto
sina background ya accounting lakini huyu Prof alinifundisha topic moja tu kwenye level fulani hadi leo hata accountants wenyewe wanani consult kwenye eneo nililofundishwa na huyu jamaa.kwa sisi wanafunzi wa Mussa J Assad, hatujastushwa na hili, tunamfahamu hababaishi katika kazi zake.
nikizikumbuka zile 'get five or get zero' ha haa
viva Assad
Nakuunga mkono.Kwa hiyo kwa maoni yako wewe ulitaka CAG aseme au afanye nini asitumbuliwe?
Typical mindset ya waTanzania. Ukiona kitu kisichofaa kufanywa, nyamaza au piga makelele kukiunga mkono!
Tungepata watu jasiri 10 hivi waliomo ndani ya serikali hii wakasema bila kupepesa macho kwamba kuna mambo yanayofanywa ndani ya serikali wasiyoyaunga mkono, nina hakika kabisa tungeanza kuona mabadiliko ya tabia za hawa wanaofanya kazi bila kujali taratibu zilizowekwa.
Huu ni mwezi wa nine CAG yupo ofisini. Watanzania wengine tunamuunga mkono CAG kwa kudhibiti pesa zetu.Ndugu zangu mabibi na mabwana hakuna kichwa cha habari ambacho kingefaa ziaid ya hicho nilichochagua. Naomba usinihukumu kabla ya kusoma habari yote.
Hakuna aliyewahi kuikosoa serikali ya awamu ya tano na bunge hili la sasa akabaki salama. CAG amejiingiza kwenye msitu wenye giza nene ambao hatoweza kutoka salama.
Kama ni mfuatiliaji wa masuala mbalimbali hapa nchini utagundua kuwa kibarua cha CAG tayari kimeota mbawa.
Kauli za Ndugai siyo za bure kuna mpango na mkakati ambao umeshasukukwa kumuondoa, maana CAG amesema bunge ni dhaifu kwa kushindwa kusimamia serikali hii inayofanya mambo mengi bila idhini ya bunge.
Kununua ndege, Ujenzi wa kiwanja Chato, Ununuaji wa korosho nk bila bunge kujadili na kupitisha bajeti. Kwa maana nyingine CAG kusema bunge ni dhaifu amekosoa utendaji wa serikali pia.
Nawahakikishia CAG atotumbuliwa mapema January hii au mwanzoni mwa February.
Mh Ndugai asidanganye watanzania kuwa bunge lake lipo imara kuisimamia serikali, ebu awaambie wananchi ni lini bunge limewahi kujadili ununuzi wa ndege, ujenzi wa uwanja Chato, ununuzi wa korosho kwa pesa za umma?
Serikali ya awamu ya tano ikikusudia kufanya lolote bunge la Ndugai linasema ndiyooooo, ni aibu sana kuwa na bunge butuuuu kama hili
Huu ni mwezi wa nine CAG yupo ofisini. Watanzania wengine tunamuunga mkono CAG kwa kudhibiti pesa zetu.
Awamu hii ni janga haitaki watu wenye hofu ya Mungu.
BADILISHA HEADING,WEKA HIVI ''KIBARUA CHA CAG HATARINI KUOTA MBAWA
Sawa ila kwangu mimi ninamkubali kiutendaji na Ana hofu ya Mungu.Kubaki ofisini hakumaanishi kwamba ataendelea kuwepo madarakani maana wateule wote wa Kikwete wameshapigwa chini kabaki yeye tu
Kubaki ofisini hakumaanishi kwamba ataendelea kuwepo madarakani maana wateule wote wa Kikwete wameshapigwa chini kabaki yeye tu