KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Kwa hiyo kwa maoni yako wewe ulitaka CAG aseme au afanye nini asitumbuliwe?
Typical mindset ya waTanzania. Ukiona kitu kisichofaa kufanywa, nyamaza au piga makelele kukiunga mkono!
Tungepata watu jasiri 10 hivi waliomo ndani ya serikali hii wakasema bila kupepesa macho kwamba kuna mambo yanayofanywa ndani ya serikali wasiyoyaunga mkono, nina hakika kabisa tungeanza kuona mabadiliko ya tabia za hawa wanaofanya kazi bila kujali taratibu zilizowekwa.