Tetesi: Kibarua cha CAG kuota nyasi

kwa sisi wanafunzi wa Mussa J Assad, hatujastushwa na hili, tunamfahamu hababaishi katika kazi zake.

nikizikumbuka zile 'get five or get zero' ha haa

viva Assad
sina background ya accounting lakini huyu Prof alinifundisha topic moja tu kwenye level fulani hadi leo hata accountants wenyewe wanani consult kwenye eneo nililofundishwa na huyu jamaa.

jamaa yupo vizuri sana aisee!!
 
Nakuunga mkono.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni mwezi wa nine CAG yupo ofisini. Watanzania wengine tunamuunga mkono CAG kwa kudhibiti pesa zetu.

Awamu hii ni janga haitaki watu wenye hofu ya Mungu.
 
Huu ni mwezi wa nine CAG yupo ofisini. Watanzania wengine tunamuunga mkono CAG kwa kudhibiti pesa zetu.

Awamu hii ni janga haitaki watu wenye hofu ya Mungu.

Kubaki ofisini hakumaanishi kwamba ataendelea kuwepo madarakani maana wateule wote wa Kikwete wameshapigwa chini kabaki yeye tu
 
Kubaki ofisini hakumaanishi kwamba ataendelea kuwepo madarakani maana wateule wote wa Kikwete wameshapigwa chini kabaki yeye tu
Sawa ila kwangu mimi ninamkubali kiutendaji na Ana hofu ya Mungu.
 
Kubaki ofisini hakumaanishi kwamba ataendelea kuwepo madarakani maana wateule wote wa Kikwete wameshapigwa chini kabaki yeye tu

Keshakuambia mtajie kifungu cha katiba utakachomuondolea madarakani. Kama ni tyuu tyuu tyuu sema pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…