Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Unadhani hii ni mara ya kwanza? 😂😂Kama Bawata ya mama Tibaijuka haikurudi mpaka leo, sembuse hilo kanisa la kitapeli tapeli
Nimekuwa nikijiuliza, ikiwa Gwajima alitoa tamko juu ya suala la utekaji na mauaji kama "press conference", iweje serikali ifungie kanisa lake kama vile hiyo statement aliitoa kama mahubiri ya kanisani?KIBATALA NDIE WAKILI WA ASKOFU GWAJIMA KWENYE HILI LINALOENDELEA.
Kilitokea nini kwani. Maana hii nadhani ni ile na Mary kabigi naye alikuwemo!Kama Bawata ya mama Tibaijuka haikurudi mpaka leo, sembuse hilo kanisa la kitapeli tapeli
Acheni ushabiki wa kipumbavu, Kibatala hatungi sheria za nchi hii kushinda kesi kadhaa huko nyuma haioneshi ubingwa wowote kinachoamua kesi ni sheria kupitia hakimu/jaji.KIBATALA NDIE WAKILI WA ASKOFU GWAJIMA KWENYE HILI LINALOENDELEA.
PPeter Kibatala: Nimepewa rasmi maagizo na KANISA LA UTUKUFU WA KRISTO TANZANIA, linalojulikana kikanisa kama KANISA LA UFUFUO NA UZIMA, chini ya uongozi wa Askofu Josephat Gwajima, kulitumikia kama Wakili wake, na kuliwakilisha pamoja na watumishi wake wa madhabahuni na waumini wake katika masuala mbalimbali ya kisheria — jambo la awali likiwa ni suala linalodaiwa kuwa la kufutwa kwa usajili wa kanisa hilo (kama Jumuiya ya Kijamii ya Ndani), linalodaiwa kufanywa chini ya Sheria ya Jumuiya, Sura ya 337.
Nitahutubia vyombo vya habari katika muda utakaopangwa hivi karibuni kuhusu masuala yote ya kisheria yanayozunguka tukio hili la kusikitisha sana, na nitawasilisha hatua zote za kisheria zinazochukuliwa kupinga kile ambacho wateja wangu wanakiona kama unyanyasaji wa kisheria.
Baadhi ya wateja wangu, baada ya kukusanyika kwa utulivu, walikamatwa usiku wa tarehe 2 Juni 2025, na kwa sasa wanashikiliwa katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay, Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Dar es Salaam. Nimemteua Wakili kutoka Ofisi yangu kuwawakilisha kikamilifu. Tutawatetea watu hawa wa imani kwa kiwango cha juu kabisa.
Tunaendelea, na tumeanza kuchukua hatua zote zinazowezekana kisheria.
Tunafahamu kuhusu kauli mbalimbali za hadharani zilizotolewa na mmoja au wawili wa maafisa wa serikali kuhusu ustawi wa kisheria na kidini wa wateja wangu; kama nilivyotangulia kusema, tutajibu kwa kina.
Hatutambui chochote kinachoitwa “GLORY OF CHRIST CHURCH”; wateja wangu wanajulikana kisheria kama THE GLORY OF CHRIST TANZANIA CHURCH. Hivyo basi, karatasi yoyote inayosambazwa kwa jina hilo la awali ni suala linalomuhusu aliyedai kuiandika.
Wakongwe nawaonaKilitokea nini kwani. Maana hii nadhani ni ile na Mary kabigi naye alikuwemo!
Utekaji ni 'SIASA' na yeye kakemea UTEKAJI akiwa Kanisani hivyo ameingilia 'SIASA'Nimekuwa nikijiuliza, ikiwa Gwajima alitoa tamko juu ya suala la utekaji na mauaji kama "press conference", iweje serikali ifungie kanisa lake kama vile hiyo statement aliitoa kama mahubiri ya kanisani?
We ni zombie na km mleta madaHuyu Jamaa ,Kibatala ni muhimu sana kwa Taifa
Sasa unalia nini?Acheni ushabiki wa kipumbavu, Kibatala hatungi sheria za nchi hii kushinda kesi kadhaa huko nyuma haioneshi ubingwa wowote kinachoamua kesi ni sheria kupitia hakimu/jaji.
Hapana. Samia amechukia kwa sababu, japo hakumtaja, alionyesha wazi yuko nyuma ya utekaji na uuaji, au anajua kinachoendelea ni kwa faida yake. Hii ilikuwa ni press conference, Gwajima akiwa amekaa.Utekaji ni SIASA na yeye kakemea UTEKAJ akiwa Kanisani hivyo ameingilia SIASA
Mabingwa ni waliofungia Kanisa la Gwajima?Acheni ushabiki wa kipumbavu, Kibatala hatungi sheria za nchi hii kushinda kesi kadhaa huko nyuma haioneshi ubingwa wowote kinachoamua kesi ni sheria kupitia hakimu/jaji.
Siku nchi hii ikipinduliwa nashauri mafisadi wote na watu kama wewe mpigwe risasi hadharani. Mnalirudisha nyuma taifa hili kwa ukosefu wenu wa akili.We ni zombie na km mleta mada
Gwajima hakumtaja Samia kuhusika bali alimtaja kujenga msingi wa nadharia zake kuhusu nini kinaendelea kwenye utekaji!Hapana. Samia amechukia kwa sababu, japo hakumtaja, alionyesha wazi yuko nyuma ya utekaji na uuaji, au anajua kinachoendelea ni kwa faida yake. Hii ilikuwa ni press conference, Gwajima akiwa amekaa.
Bora wazazi wako wangevaa kondom,uchafu huu usingekuja duniani.We ni zombie na km mleta mada