stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 18,094
- 27,978
Utapeli ni nini?au kuna utapeli gani kwenye kumuhubiri kristo Yesu?watch your tongue inaweza kukutafuna.Kama ni makosa ya mtumishi wa Mungu wa kanisa ibaki kakosea yeye kama yeye lakini sio kuongeza maneno ya uchochezi wakati kuna wanaokombolewa na Mungu out of it...Kama Bawata ya mama Tibaijuka haikurudi mpaka leo, sembuse hilo kanisa la kitapeli tapeli