Utapeli ni nini?au kuna utapeli gani kwenye kumuhubiri kristo Yesu?watch your tongue inaweza kukutafuna.Kama ni makosa ya mtumishi wa Mungu wa kanisa ibaki kakosea yeye kama yeye lakini sio kuongeza maneno ya uchochezi wakati kuna wanaokombolewa na Mungu out of it...Kama Bawata ya mama Tibaijuka haikurudi mpaka leo, sembuse hilo kanisa la kitapeli tapeli
TakatakaUtapeli ni nini?au kuna utapeli gani kwenye kumuhubiri kristo Yesu?watch your tongue inaweza kukutafuna.Kama ni makosa ya mtumishi wa Mungu wa kanisa ibaki kakoksoea lakini sio kuongeza maneno ya uchochezi wakati kuna wanaokombolewa na Mungu out of it...
Unateseka ukiwa wapiAcheni ushabiki wa kipumbavu, Kibatala hatungi sheria za nchi hii kushinda kesi kadhaa huko nyuma haioneshi ubingwa wowote kinachoamua kesi ni sheria kupitia hakimu/jaji.
Alimpotoa jela yule mama muuaji kisa pesa heshima ilishukaHuyu Jamaa ,Kibatala ni muhimu sana kwa Taifa
Hao wapigaji risasi ndio mabingwa wa ufisadi wenyewe thus hawataki account zao za matumizi zikaguliwe wakati ni kodi zetuSiku nchi hii ikipinduliwa nashauri mafisadi wote na watu kama wewe mpigwe risasi hadharani. Mnalirudisha nyuma taifa hili kwa ukosefu wenu wa akili.
Mhakimu na majaji wa Samia mishipa ya aibu imekatika yote. Sijawahi kuona kipindi mahakama imekuwa ya hovyo kama kipindi hiki cha huyu Juma anayejifanya ni profesa. Elimu yake itakuwa ya kuunga-unga kwa sababu msomi hawezi kufanya ujinga kama huu.Hapo wakafungue shauri mahakamani watashinda.
Hata huo mhuri wa si kweli hujauona, poor soul
Watu wanaliwa pesa bure, lakini haki yao maana kuna mbwela humu wanakiri kuwa watanganyika ni watu wasiojielewa.Hahaha kwani wasiojulikana waliweka kufuli au walimzuia Gwajima tu?
Tarudi Tanganyika Packers tuendelee kufufua wafu.
Maku koyaKama Bawata ya mama Tibaijuka haikurudi mpaka leo, sembuse hilo kanisa la kitapeli tapeli
😬Kwahiyo wakisema utoe ufafanuzi wa neno UTEKAJI, utaeleza hivi ulivyoeleza??🤣🤣. Una elimu Gani ndugu yangu mbona hivi???Utekaji ni 'SIASA' na yeye kakemea UTEKAJI akiwa Kanisani hivyo ameingilia 'SIASA'
Hatujielewi mwenge bado unatuzingua, sijui kwanini Mwenge haukimbizwi Zanzibari.Watu wanaliwa pesa bure, lakini haki yao maana kuna mbwela humu wanakiri kuwa watanganyika ni watu wasiojielewa.
Unakimbizwa mkuu sema ndio ivo kajikundi kadogo tu si unajua wapemba wazee wa kusanda.Hatujielewi mwenge bado unatuzingua, sijui kwanini Mwrnge haukimbizwi Zanzibari.
Loshindo lwakoMaku koya