Kibatala ni Wakili mzuri lakini kinachomsumbua ni ubaguzi

Tatizo udini umekujaa sana Hadi akili zimehama
Mkiguswa mnazingizia udini. Enzi hizo mkisema waslam hawakusoma. sasa mnakuja na hoja za udini. Jengeni hoja msirukie maswala mepesi ya udini. Swali langu la msingi. Kibatala kwanini kila swala anarukia lkn hili kakaa kimya?
 
Sitaki niandike mengi kwa kuwachosha watu huu ni muda wa kazi. Nitaweka point 2 tu zitatosha
1. Umemsikia kumpigania kwa njia za mahakama kada wa CHADEMA wa Tanga aliopo mikono ya Polisi?Jiulize kwanini? Sio mwanachadema? hataki na yeye kupata haki?

2. Lakini si ulimsikia alivyokuwa akiongoza kumtetea aliefungwa kwa kuchana picha ya Rais? Unadhani kwanini? anafanya kwa bahati mbaya?

Ipo mifano mingi na naweza kujaza kitabu kizima lakini kuokoa muda niandike haya.

Ni hayo tu.
Mduguuu jamaaaaaaa analengaaa panapopitika hanging kizembe

2..anapenda umaarufu so usishangae kuona pale anapoenda huwa akosei lazima yaishe

3...cham cha wahuni usikiendekeze saana hamia ccm ukaae kwa amani haiwezekan kila wahuni wa mtandao. Watokeeee chadema watetewe na chadema
 
Sitaki niandike mengi kwa kuwachosha watu huu ni muda wa kazi. Nitaweka point 2 tu zitatosha:

1. Umemsikia kumpigania kwa njia za mahakama kada wa CHADEMA wa Tanga aliopo mikono ya Polisi?Jiulize kwanini? Sio mwanachadema? Hataki na yeye kupata haki?

2. Lakini si ulimsikia alivyokuwa akiongoza kumtetea aliefungwa kwa kuchana picha ya Rais? Unadhani kwanini? anafanya kwa bahati mbaya?

Ipo mifano mingi na naweza kujaza kitabu kizima lakini kuokoa muda niandike haya.

Ni hayo tu.
Kwa hiyo, wewe unasoma mind za watu wanafanya nini na wanataka kufanya nini? Kwani Chadema ina wakili mmoja tu na umeshajua wamepanga wafanye nini? Sijaona kama hoja zako zinajitosheleza kuonyesha ubaguzi wake, labda kama kuna hoja ambazo hukuandika hapa, labda hizo ndizo tusubiri. Mimi nazisubiri.
 
Ni liislamu janafunzi kindakindaki la mzee Mo Said
 
Sitaki niandike mengi kwa kuwachosha watu huu ni muda wa kazi. Nitaweka point 2 tu zitatosha:

1. Umemsikia kumpigania kwa njia za mahakama kada wa CHADEMA wa Tanga aliopo mikono ya Polisi?Jiulize kwanini? Sio mwanachadema? Hataki na yeye kupata haki?

2. Lakini si ulimsikia alivyokuwa akiongoza kumtetea aliefungwa kwa kuchana picha ya Rais? Unadhani kwanini? anafanya kwa bahati mbaya?

Ipo mifano mingi na naweza kujaza kitabu kizima lakini kuokoa muda niandike haya.

Ni hayo tu.
Hata wewe mbaguzi, mawakili wote kwa nini umeamua kumsema Kibatala?

Ni hivi, ukishasomea utaalamu wako wa sheria, una haki ya kufanya ubaguzi nani unataka kumtetea.

Yani wakili hawajibiki kumtetea mtu yeyote unayetaka wewe amtetee.

Yeye ana haki ya kuamua anataka kuchagua kesi za matatizo ya familia tu, watu wanaoonewa katika ndoa tu, na hiyo ndiyo ikawa specialization yake.

Sasa hapo mtu akitaka kufanya specialization yake, kwa sababu zake anazozijua vizuri mwenyewe yeye, za kimkakati au kitaaluma, utamlaumu kwa ubaguzi?
 
Back
Top Bottom