Hata wewe mbaguzi, mawakili wote kwa nini umeamua kumsema Kibatala?
Ni hivi, ukishasomea utaalamu wako wa sheria, una haki ya kufanya ubaguzi nani unataka kumtetea.
Yani wakili hawajibiki kumtetea mtu yeyote unayetaka wewe amtetee.
Yeye ana haki ya kuamua anataka kuchagua kesi za matatizo ya familia tu, watu wanaoonewa katika ndoa tu, na hiyo ndiyo ikawa specialization yake.
Sasa hapo mtu akitaka kufanya specialization yake, kwa sababu zake anazozijua vizuri mwenyewe yeye, za kimkakati au kitaaluma, utamlaumu kwa ubaguzi?