Kibatala ni Wakili mzuri lakini kinachomsumbua ni ubaguzi

Unahakika unachokisema?
 
Unahakika unachokisema?
Naam. Si ninachosema mimi tu.

Rais mstaafu wa Tanganyika Law Society ( aliyekuwa rais wa TLS kwa vipindi vitatu mfululizo) Mwanasheria Msomi na Wakili Mwandamizi Francis Stolla aliulizwa swali hilo jana Jumatatu July 15 2024 akajibu hivyo katika Ukumbi wa The Tanganyikan.

Maongezi yake yapo Clubhouse.

Nimekupa jibu langu, source ya mwanasheria anayeheshimika, rekodi ya wapi lilisemwa na tarehe.

Ungemshauri akasomee shahada ya sheria hata Chuo kikuu cha Tumaini baadae aende school of law.
Zikitokea kesi ambazo Kibatala hazisimamii yeye achukue nafasi.
 
Nonsense
 
Ungemshauri akasomee shahada ya sheria hata Chuo kikuu cha Tumaini baadae aende school of law.
Zikitokea kesi ambazo Kibatala hazisimamii yeye achukue nafasi.
Kuna watu wengi sana ni wepesi wa kuonesha kidole kuwa wenzao hawafanyi hiki na kile, wakati wao wenyewe hawafanyi lolote.
 
unataka kusema CHADEMA ni wabaguzi? yeye ndie mkuu wa sheria Chadema. au hujui?
Binti mbona kamtetea dogo mmoja ni muislamu lindi mpaka akapata haki yake aliyokataka kudhulumiwa na mkinga ambae ni mkristo?tena dogo alimpigia simu akamsimulia mkasa wote na kamsaidia bure kabisa
 
Binti mbona kamtetea dogo mmoja ni muislamu lindi mpaka akapata haki yake aliyokataka kudhulumiwa na mkinga ambae ni mkristo?tena dogo alimpigia simu akamsimulia mkasa wote na kamsaidia bure kabisa
Ndiyo maana tunaambiwa no research no right to speak. Huyu mwehu kaamka na chuki zake za kidini anaanzisha uzi kapigwa spana kaukimbia uzi wake.
 
hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…