Kibatala wewe ni wakili mzuri na msomi lakini punguza majivuno na dharau dhidi ya mamlaka

kuna wasiwasi wasiwasi mkubwa hawa ndugu washtakiwa wapotoshaji wakakosa kupata haki zao za msingi kwa majivuno, ubishi na ujuaji usio kua na tija wa wakili wao 🐒
Kwa hiyo mmeshapata sababu za kuwanyima haki?
 
Hao mawakili unaosema wapo na ni wakali zaidi ya kibatala inakuwaje kila siku tunaburwa mahakamani na mandege yetu yanakamatwa na tunashindwa kesi?
 
Ungekuwa nae kwenye kizimba tayari ameshakuchanganya na umepoteana!
 
Kibatala ni mjanja sana. Anafanya hivyo ili Chadema wamuone mjuzi sana Ili awapige hela ndeeefu ya kuwatetea. Si unajua wajinga ndio waliwao! Ahahahahaha!!!
 
Hapo Tanzania mostly kuna waigizaji, hakuna wanasheria.

Kuna kesi nyingi sana za kikatiba, za madai etc zinaachwa.

Halafu kuna wanasheria wasiojitambua wamekaa hawana kazi.
 
Sasa kama anajua asijivune?
 
Makini sana,nondo mujarabu sana,na akuelewe kwa lazima,nasema mimi
 
Kibatala amekuwa Wakili mwaka 2008 kwahiyo Ana jumla ya miaka 16 akiwa Kama Wakili

Niseme tu huyu jamaa Ana karama kubwa Sana ya sheria hivyo sio rahisi umuangushe MTU akiyesimishwa na MUNGU

Ushauri jithidini kuwa na vipaji vipya mvilee ili vifike hata robo ya kibatala.

Hakuna MTU wa kumfikia kibatala kwa sasa. This guy is untouchable
 
Ukimtoa Kibatala mtu mwengine mwenye dharau ni Kibu Denis, yani Kibu wa kuigomea Simba eti kisa aongezewe mshahara? Kwa kipaji gani alichonacho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…