Kibatala wewe ni wakili mzuri na msomi lakini punguza majivuno na dharau dhidi ya mamlaka

Moja ya sifa ya mwanasheria msomi ni kujimwambafai.... Kujikubali........punguza chuki mkuu kwa wasomi na matajiri
 
Selikal wamgekuwa hawashimdwi kesi
Ningekuelewa kuwa wapo wataalamu kuliko kibatala ila kwa kuwa wanashindwa basi acha tuone
 
Ww utakuwa ni mzee lazima na nyie ndio mnachangia mahakama zetu kutokufanya kazi kwa weledi Bali vitisho. Hapa unachosema ni sawa na kusema Simba au Yanga zitafungwa kwa Hila za marefarii kisa wasemaji wa timu hizo wanaongea kwa kubehi. Yaani umeongea upuuzi wa hali ya juu, na kuweka wazi udhaifu wa mahakama zetu.
 
Mungu ana miujiza, Pale MZUMBE class yetu ya LLB Kibatala Ndio alikuwa kilaza. Muulize Dr. Joel, Binamungu na Mavunde
Nyie mliokuwa vichwa mko wapi sasa hivi, au ndio mko mnapitia mikataba ya wizi ya serekali? Na mkipewa kesi kwenye mahakama za kimataifa mnaishia kuwa wachekeshaji?
 
Dua la kuku halimpati mwewe!
 
Sheria ina Nini, au ni huo upuuzi mnaotaka kuungiza wa kunyenyekewa?
kila muda umefura tu, relax bas kamanda 🀣

mahakamani hapana mzaha wala huruma kwenye mambo ya msingi πŸ’
 
Ushauri mzuri sana.
Waswahili wanasema " kiburi si maungwana". Maana yake ni kuwa mtu mwenye heshima na busara hatakiwa kuwa na kiburi au dharau.
 
Hakuna dharau wala kebehi hapo wewe ni mjinga tu hujui haki za raia na wajibu wa mwanasheria.

Kama tuna tatizo Tanzania basi tatizo hilo ni kwamba wanasheria wetu si wakali vya kutosha, hawana kebehi za kutosha, hawana dharau za kutosha.
Watu hawajui kuwa mojawapo ya sifa ya wakili ni kuwa na dharau, kebehi, upole na unyenyekevu ya hali ya juu. Yote haya yanategemea na mazingira ya kesi na namna ya kumsoma na kumtingisha Adui kabla na baada ya kesi.
Mleta mada ni mnufaika wa kesi kwa njia moja au nyingine.
Anapanga kufanya haramu kuwa halali.
 
kuna wasiwasi wasiwasi mkubwa hawa ndugu washtakiwa wapotoshaji wakakosa kupata haki zao za msingi kwa majivuno, ubishi na ujuaji usio kua na tija wa wakili wao πŸ’
Haki watakosa kwa misingi ya kisheria au kwa mapenzi ya watu wanaomchukia mwanasheria wao? Mbona ufichi ujinga ndugu.
 
Haki watakosa kwa misingi ya kisheria au kwa mapenzi ya watu wanaomchukia mwanasheria wao? Mbona ufichi ujinga ndugu.
kwa mizaha ya wakili wao ambae ni mahiri sana kujielaza kwenye media kuliko mahakamani πŸ’
 
Acha kifundisha watu uoga, mmepandikiza wuoga Kila mahali, matokeo yake uwezo wa watu umefubaa. Watu wana elimu zao lakini wamegeuka kuwa majoga ya ajabu. Police wameshajua ni watuhumiwa, Sasa wanaanza kupandikiza uoga Ili wapindishe haki.
 
Kwenye jinai gwiji aliyebaki ni Majura tu! Jamaa anajua criminal law/practice mpaka anakera; ukimwona sasa physically yupo simpo kama mtu anaetumia ulanzi!

On the other hand Kibatala ni wa kawaida sana kesi zake za "kisiasa" ndo zinampa mileage
 
MJINGA MAMAKO
Hahaha hapa ni JF umefikia kwenye matusi, ungekuwa mahakamani wewe si ungekufa! (Mzoefu wa kuhudhuria mahakamani tangu enzi za kina Lamwai hadi kina Kibatala). Wewe ukiwa wakili ni dakika tatu chali.
 
kila muda umefura tu, relax bas kamanda 🀣

mahakamani hapana mzaha wala huruma kwenye mambo ya msingi πŸ’
Sio hizo mahakama za kupigiwa simu Moja, rejea Rostam. Hizo mahakama unazosema hazina mzaha, si ndio hizo Makonda amesema hatuwezi kupata haki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…