Kibatala wewe ni wakili mzuri na msomi lakini punguza majivuno na dharau dhidi ya mamlaka

Sio hizo mahakama za kupigiwa simu Moja, rejea Rostam. Hizo mahakama unazosema hazina mzaha, si ndio hizo Makonda amesema hatuwezi kupata haki?
kwahiyo ndugu zako wanajipeleka wenyewe kwenye mdomo wa Simba wenyewe kwa hiari yao dah, wanasindikizwa na wakili kabisa 🐒

by the way ile nia na dhamira yako ya kugombea uongozi serikali za mitaa bado iko au imeyeyuka tena 🤣

I must offer and support you with something kwakweli 🐒
 
Ni hivi, mkiwafunga mmewaonea, mkiwaacha mmewaogopa.

Sijawahi hata kutamani kupata vyeo vya kisiasa. Tena kwa hizi chaguzi za kishenzi naanzaje kwa mfano?
 
kuna uwezekano aliekuroga hatunae tena au ameokoka 🤣
Ni hivi, mkiwafunga mmewaonea, mkiwaacha mmewaogopa.

Sijawahi hata kutamani kupata vyeo vya kisiasa. Tena kwa hizi chaguzi za kishenzi naanzaje kwa mfano?
 
Huwa navutiwa sana ninaposikia Kibatala anamtetea mtu, nimeanza kukufuatilia kitambo sana uwezo wako kisheria na kweli umenifanya hata mimi nipende kusomea sheria, Wakili msomi Kibatala, mimi nimeshuhudia mawakili wengi wasomi kuliko wewe, mfano marehemu Dkt.Masumbuko Lamwai, Herbet Nyange, Mosses Maira, Mabere Nyaucho Marando, Professa Abdallah Safari nk.

Nilikuwa nashinda Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwasikiliza mabingwa hao tu wakiwakilisha watu mahakamani, miongoni mwa mawakili waliobaki ni huyu msomi Majura Magafu.Huyu ni bingwa kuliko wewe Kibatala.

Kwanza kwenye roll of advocates nadhani Magafu ni senior kwako, lakini hata hivyo nimekuwa nikikuona sana Kibatala ukiongea kwa kebehi sana dhidi ya serikali.Kwa mfano leo katika kesi ya Boniface na Malisa unasoma hati ya mashtaka mbele ya waandishi wa habari kwa majivuno ukisema unawasubiri hao waliokuwa wakifanya press yaani Jeshi la Polisi na utaomba waitwe mahakamani ili uweze kuwahoji.

Ukaongea kwa kebehi eti nanukuu, " Tutaomba pia hao ambao mwanafamilia amesema ni jeshi waje pia kutoa ushahidi." mwisho wa kunukuu.

Maneno hayo ni ya dharau, kebehi na majivuno, huko serikalini kuna wanasheria wasomi kuliko wewe, kwanza unavyojifanya mjuaji naona kama unawatafutia balaa hao washtakiwa wawili, kesi ni ushahidi na ushahidi kuwa washtakiwa wametenda kosa ushahidi dhidi yao utathibitishwa mahakamani na hao unaowapa matumaini utawasababishia matatizo.

Wewe kujua sheria haina maana kuwa Jacob na Malisa hawawezi kuwa behind the bars, nakusihi sana Bro, navutiwa sana sana sana na uwezo na kipaji ulichonacho kisheria lakini sio sawa kuwa mjivuni, kudharau mamlaka kwa sababu tu una itikadi za Chadema.

Sasa Jamhuri itakupangia mawakili wa saizi yako na huyo Jacob atakonda mwenyewe baada ya mwezi.
Ulitaka asomaje?
 
Kwani Rostam alisema nini kuhusu mahakama zetu hapo ndio kwenye majibu yote…
 
Nyie mliokuwa vichwa mko wapi sasa hivi, au ndio mko mnapitia mikataba ya wizi ya serekali? Na mkipewa kesi kwenye mahakama za kimataifa mnaishia kuwa wachekeshaji?
Nipo nakula miguu ya ng'ombe hapa chamwino
 
Huwa navutiwa sana ninaposikia Kibatala anamtetea mtu, nimeanza kukufuatilia kitambo sana uwezo wako kisheria na kweli umenifanya hata mimi nipende kusomea sheria, Wakili msomi Kibatala, mimi nimeshuhudia mawakili wengi wasomi kuliko wewe, mfano marehemu Dkt.Masumbuko Lamwai, Herbet Nyange, Mosses Maira, Mabere Nyaucho Marando, Professa Abdallah Safari nk.

Nilikuwa nashinda Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwasikiliza mabingwa hao tu wakiwakilisha watu mahakamani, miongoni mwa mawakili waliobaki ni huyu msomi Majura Magafu.Huyu ni bingwa kuliko wewe Kibatala.

Kwanza kwenye roll of advocates nadhani Magafu ni senior kwako, lakini hata hivyo nimekuwa nikikuona sana Kibatala ukiongea kwa kebehi sana dhidi ya serikali.Kwa mfano leo katika kesi ya Boniface na Malisa unasoma hati ya mashtaka mbele ya waandishi wa habari kwa majivuno ukisema unawasubiri hao waliokuwa wakifanya press yaani Jeshi la Polisi na utaomba waitwe mahakamani ili uweze kuwahoji.

Ukaongea kwa kebehi eti nanukuu, " Tutaomba pia hao ambao mwanafamilia amesema ni jeshi waje pia kutoa ushahidi." mwisho wa kunukuu.

Maneno hayo ni ya dharau, kebehi na majivuno, huko serikalini kuna wanasheria wasomi kuliko wewe, kwanza unavyojifanya mjuaji naona kama unawatafutia balaa hao washtakiwa wawili, kesi ni ushahidi na ushahidi kuwa washtakiwa wametenda kosa ushahidi dhidi yao utathibitishwa mahakamani na hao unaowapa matumaini utawasababishia matatizo.

Wewe kujua sheria haina maana kuwa Jacob na Malisa hawawezi kuwa behind the bars, nakusihi sana Bro, navutiwa sana sana sana na uwezo na kipaji ulichonacho kisheria lakini sio sawa kuwa mjivuni, kudharau mamlaka kwa sababu tu una itikadi za Chadema.

Sasa Jamhuri itakupangia mawakili wa saizi yako na huyo Jacob atakonda mwenyewe baada ya mwezi.
Ndio umeandika nini
Kwahio kwani viongozi wa serikali
Wao wanasifa ya Mungu hawakosei
Mpaka mtu akizungumza mazaifu yao

Hionekane anawadharau
Sasa hapo Kibatala kosa lake nini
Kusema polisi nao waitwe mahakamani
Na kama una wa amini mwakili serikali Malalamiko ya nini

Kwani wewe utaumia sana Boni na Malisa wakipatikana na hatia
Au shida yako nini

Au ww ni miongoni mwa hao polisi
 
Hili taifa lina watu wengi wa hovyo sana '' vijana wa hovyo'' ndio maana hatuendelei na wanasiasa wanatugeuza wanavyotaka.....uoga uoga tu kila mahali.
 
Mbona kama unamtisha vile ??? Acha kumtisha tusubiri muendelezo wa kesi
 
Huwa navutiwa sana ninaposikia Kibatala anamtetea mtu, nimeanza kukufuatilia kitambo sana uwezo wako kisheria na kweli umenifanya hata mimi nipende kusomea sheria, Wakili msomi Kibatala, mimi nimeshuhudia mawakili wengi wasomi kuliko wewe, mfano marehemu Dkt.Masumbuko Lamwai, Herbet Nyange, Mosses Maira, Mabere Nyaucho Marando, Professa Abdallah Safari nk.

Nilikuwa nashinda Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwasikiliza mabingwa hao tu wakiwakilisha watu mahakamani, miongoni mwa mawakili waliobaki ni huyu msomi Majura Magafu.Huyu ni bingwa kuliko wewe Kibatala.

Kwanza kwenye roll of advocates nadhani Magafu ni senior kwako, lakini hata hivyo nimekuwa nikikuona sana Kibatala ukiongea kwa kebehi sana dhidi ya serikali.Kwa mfano leo katika kesi ya Boniface na Malisa unasoma hati ya mashtaka mbele ya waandishi wa habari kwa majivuno ukisema unawasubiri hao waliokuwa wakifanya press yaani Jeshi la Polisi na utaomba waitwe mahakamani ili uweze kuwahoji.

Ukaongea kwa kebehi eti nanukuu, " Tutaomba pia hao ambao mwanafamilia amesema ni jeshi waje pia kutoa ushahidi." mwisho wa kunukuu.

Maneno hayo ni ya dharau, kebehi na majivuno, huko serikalini kuna wanasheria wasomi kuliko wewe, kwanza unavyojifanya mjuaji naona kama unawatafutia balaa hao washtakiwa wawili, kesi ni ushahidi na ushahidi kuwa washtakiwa wametenda kosa ushahidi dhidi yao utathibitishwa mahakamani na hao unaowapa matumaini utawasababishia matatizo.

Wewe kujua sheria haina maana kuwa Jacob na Malisa hawawezi kuwa behind the bars, nakusihi sana Bro, navutiwa sana sana sana na uwezo na kipaji ulichonacho kisheria lakini sio sawa kuwa mjivuni, kudharau mamlaka kwa sababu tu una itikadi za Chadema.

Sasa Jamhuri itakupangia mawakili wa saizi yako na huyo Jacob atakonda mwenyewe baada ya mwezi.
mwambie proud goes before a fall
 
Nipo nakula miguu ya ng'ombe hapa chamwino
Hii inaonyesha nyie hamkuwa na akili, bali mlikuwa mnakariri Ili mfaulu mitihani. Jamaa yeye alikuwa anajifunza kazi, ila hakuwa na uwezo mkubwa wa kukariri kama nyinyi.
 
Kina comte na mjingamimi yani nikiwakumbuka hawa wawili humu JF kwenye hiyo kesi bure kabisa.
Kibatala Kibatala-Alisema This is THE BIG ANSWER -wakili hajui kiingereza. Nishitaki na umuweke Kibatala wakili wako-mie namuondoa wa kwangu naendesha kesi mwenyewe na hanishidi
 
Back
Top Bottom