kwahiyo ndugu zako wanajipeleka wenyewe kwenye mdomo wa Simba wenyewe kwa hiari yao dah, wanasindikizwa na wakili kabisa πSio hizo mahakama za kupigiwa simu Moja, rejea Rostam. Hizo mahakama unazosema hazina mzaha, si ndio hizo Makonda amesema hatuwezi kupata haki?
ππ Bwahaaa, bwahaaa, nimecheka kwa nguvu kinoma, umekuja na post ya kupandikiza uoga, umepewa ukweli wako umeishia kupanick!MJINGA MAMAKO
Ni hivi, mkiwafunga mmewaonea, mkiwaacha mmewaogopa.kwahiyo ndugu zako wanajipeleka wenyewe kwenye mdomo wa Simba wenyewe kwa hiari yao dah, wanasindikizwa na wakili kabisa π
by the way ile nia na dhamira yako ya kugombea uongozi serikali za mitaa bado iko au imeyeyuka tena π€£
I must offer and support you with something kwakweli π
Pride comes before a fallUshauri mzuri sana.
Waswahili wanasema " kiburi si maungwana". Maana yake ni kuwa mtu mwenye heshima na busara hatakiwa kuwa na kiburi au dharau.
Ni hivi, mkiwafunga mmewaonea, mkiwaacha mmewaogopa.
Sijawahi hata kutamani kupata vyeo vya kisiasa. Tena kwa hizi chaguzi za kishenzi naanzaje kwa mfano?
Ulitaka asomaje?Huwa navutiwa sana ninaposikia Kibatala anamtetea mtu, nimeanza kukufuatilia kitambo sana uwezo wako kisheria na kweli umenifanya hata mimi nipende kusomea sheria, Wakili msomi Kibatala, mimi nimeshuhudia mawakili wengi wasomi kuliko wewe, mfano marehemu Dkt.Masumbuko Lamwai, Herbet Nyange, Mosses Maira, Mabere Nyaucho Marando, Professa Abdallah Safari nk.
Nilikuwa nashinda Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwasikiliza mabingwa hao tu wakiwakilisha watu mahakamani, miongoni mwa mawakili waliobaki ni huyu msomi Majura Magafu.Huyu ni bingwa kuliko wewe Kibatala.
Kwanza kwenye roll of advocates nadhani Magafu ni senior kwako, lakini hata hivyo nimekuwa nikikuona sana Kibatala ukiongea kwa kebehi sana dhidi ya serikali.Kwa mfano leo katika kesi ya Boniface na Malisa unasoma hati ya mashtaka mbele ya waandishi wa habari kwa majivuno ukisema unawasubiri hao waliokuwa wakifanya press yaani Jeshi la Polisi na utaomba waitwe mahakamani ili uweze kuwahoji.
Ukaongea kwa kebehi eti nanukuu, " Tutaomba pia hao ambao mwanafamilia amesema ni jeshi waje pia kutoa ushahidi." mwisho wa kunukuu.
Maneno hayo ni ya dharau, kebehi na majivuno, huko serikalini kuna wanasheria wasomi kuliko wewe, kwanza unavyojifanya mjuaji naona kama unawatafutia balaa hao washtakiwa wawili, kesi ni ushahidi na ushahidi kuwa washtakiwa wametenda kosa ushahidi dhidi yao utathibitishwa mahakamani na hao unaowapa matumaini utawasababishia matatizo.
Wewe kujua sheria haina maana kuwa Jacob na Malisa hawawezi kuwa behind the bars, nakusihi sana Bro, navutiwa sana sana sana na uwezo na kipaji ulichonacho kisheria lakini sio sawa kuwa mjivuni, kudharau mamlaka kwa sababu tu una itikadi za Chadema.
Sasa Jamhuri itakupangia mawakili wa saizi yako na huyo Jacob atakonda mwenyewe baada ya mwezi.
Nipo nakula miguu ya ng'ombe hapa chamwinoNyie mliokuwa vichwa mko wapi sasa hivi, au ndio mko mnapitia mikataba ya wizi ya serekali? Na mkipewa kesi kwenye mahakama za kimataifa mnaishia kuwa wachekeshaji?
Alikuwa anapata GPA ya 2.1Ukilaza maana yake nini ndugu?
Huyo alijikita zaidi kwenye mambo ya yanayohusu mazingira halisi na siyo notes za mwl.Alikuwa anapata GPA ya 2.1
Amezaliwa 1979 lakini hana tofauti na kizazi 2000Mkuu,
Ukimtoa wakili msomi tundu lisu anae mfuatia Ni kibatala..
Na kwa taarifa yako hao walio kutuma watalala na viatu..
NB.
Kama unaona kibatala anafaidi haukatazwi na wewe uende ukawe wakili msomi
Ndio umeandika niniHuwa navutiwa sana ninaposikia Kibatala anamtetea mtu, nimeanza kukufuatilia kitambo sana uwezo wako kisheria na kweli umenifanya hata mimi nipende kusomea sheria, Wakili msomi Kibatala, mimi nimeshuhudia mawakili wengi wasomi kuliko wewe, mfano marehemu Dkt.Masumbuko Lamwai, Herbet Nyange, Mosses Maira, Mabere Nyaucho Marando, Professa Abdallah Safari nk.
Nilikuwa nashinda Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwasikiliza mabingwa hao tu wakiwakilisha watu mahakamani, miongoni mwa mawakili waliobaki ni huyu msomi Majura Magafu.Huyu ni bingwa kuliko wewe Kibatala.
Kwanza kwenye roll of advocates nadhani Magafu ni senior kwako, lakini hata hivyo nimekuwa nikikuona sana Kibatala ukiongea kwa kebehi sana dhidi ya serikali.Kwa mfano leo katika kesi ya Boniface na Malisa unasoma hati ya mashtaka mbele ya waandishi wa habari kwa majivuno ukisema unawasubiri hao waliokuwa wakifanya press yaani Jeshi la Polisi na utaomba waitwe mahakamani ili uweze kuwahoji.
Ukaongea kwa kebehi eti nanukuu, " Tutaomba pia hao ambao mwanafamilia amesema ni jeshi waje pia kutoa ushahidi." mwisho wa kunukuu.
Maneno hayo ni ya dharau, kebehi na majivuno, huko serikalini kuna wanasheria wasomi kuliko wewe, kwanza unavyojifanya mjuaji naona kama unawatafutia balaa hao washtakiwa wawili, kesi ni ushahidi na ushahidi kuwa washtakiwa wametenda kosa ushahidi dhidi yao utathibitishwa mahakamani na hao unaowapa matumaini utawasababishia matatizo.
Wewe kujua sheria haina maana kuwa Jacob na Malisa hawawezi kuwa behind the bars, nakusihi sana Bro, navutiwa sana sana sana na uwezo na kipaji ulichonacho kisheria lakini sio sawa kuwa mjivuni, kudharau mamlaka kwa sababu tu una itikadi za Chadema.
Sasa Jamhuri itakupangia mawakili wa saizi yako na huyo Jacob atakonda mwenyewe baada ya mwezi.
mwambie proud goes before a fallHuwa navutiwa sana ninaposikia Kibatala anamtetea mtu, nimeanza kukufuatilia kitambo sana uwezo wako kisheria na kweli umenifanya hata mimi nipende kusomea sheria, Wakili msomi Kibatala, mimi nimeshuhudia mawakili wengi wasomi kuliko wewe, mfano marehemu Dkt.Masumbuko Lamwai, Herbet Nyange, Mosses Maira, Mabere Nyaucho Marando, Professa Abdallah Safari nk.
Nilikuwa nashinda Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwasikiliza mabingwa hao tu wakiwakilisha watu mahakamani, miongoni mwa mawakili waliobaki ni huyu msomi Majura Magafu.Huyu ni bingwa kuliko wewe Kibatala.
Kwanza kwenye roll of advocates nadhani Magafu ni senior kwako, lakini hata hivyo nimekuwa nikikuona sana Kibatala ukiongea kwa kebehi sana dhidi ya serikali.Kwa mfano leo katika kesi ya Boniface na Malisa unasoma hati ya mashtaka mbele ya waandishi wa habari kwa majivuno ukisema unawasubiri hao waliokuwa wakifanya press yaani Jeshi la Polisi na utaomba waitwe mahakamani ili uweze kuwahoji.
Ukaongea kwa kebehi eti nanukuu, " Tutaomba pia hao ambao mwanafamilia amesema ni jeshi waje pia kutoa ushahidi." mwisho wa kunukuu.
Maneno hayo ni ya dharau, kebehi na majivuno, huko serikalini kuna wanasheria wasomi kuliko wewe, kwanza unavyojifanya mjuaji naona kama unawatafutia balaa hao washtakiwa wawili, kesi ni ushahidi na ushahidi kuwa washtakiwa wametenda kosa ushahidi dhidi yao utathibitishwa mahakamani na hao unaowapa matumaini utawasababishia matatizo.
Wewe kujua sheria haina maana kuwa Jacob na Malisa hawawezi kuwa behind the bars, nakusihi sana Bro, navutiwa sana sana sana na uwezo na kipaji ulichonacho kisheria lakini sio sawa kuwa mjivuni, kudharau mamlaka kwa sababu tu una itikadi za Chadema.
Sasa Jamhuri itakupangia mawakili wa saizi yako na huyo Jacob atakonda mwenyewe baada ya mwezi.
Hii inaonyesha nyie hamkuwa na akili, bali mlikuwa mnakariri Ili mfaulu mitihani. Jamaa yeye alikuwa anajifunza kazi, ila hakuwa na uwezo mkubwa wa kukariri kama nyinyi.Nipo nakula miguu ya ng'ombe hapa chamwino
Kina comte na mjingamimi yani nikiwakumbuka hawa wawili humu JF kwenye hiyo kesi bure kabisa.Mimi Kibatala nilianza kumpenda kipindi alikuwa namtetea mh Mbowe kwenye kesi ya ugaidi ,mulitaka kumnyonga Mwamba nyie maswine.
Kibatala Kibatala-Alisema This is THE BIG ANSWER -wakili hajui kiingereza. Nishitaki na umuweke Kibatala wakili wako-mie namuondoa wa kwangu naendesha kesi mwenyewe na hanishidiKina comte na mjingamimi yani nikiwakumbuka hawa wawili humu JF kwenye hiyo kesi bure kabisa.
Yaaan mtu kamaliza LLB na law school unamwita kilaza??.. mkuu acha kujidhalilisha.Mungu ana miujiza, Pale MZUMBE class yetu ya LLB Kibatala Ndio alikuwa kilaza. Muulize Dr. Joel, Binamungu na Mavunde
ππππUkimtoa Kibatala mtu mwengine mwenye dharau ni Kibu Denis, yani Kibu wa kuigomea Simba eti kisa aongezewe mshahara? Kwa kipaji gani alichonacho?