Kibiblia mwanamke yoyote ukimkuta hana bikra huyo si mke wako

Kibiblia mwanamke yoyote ukimkuta hana bikra huyo si mke wako

1. Nambie ukweli ni upi?
2. Hiyo concept ya dhambi haina nafasi kwenye maisha yangu.
Achana na concept, mimi hata sina shida na Concept.
Hata concept tu umedanganya mbali na Kusema kuna wamishenari walijenga hospital iliyokuwa inatibu wakristo tu.
 
lusekelo mwenyewe mkewe hakumkuta bikra. kwahiyo hakuoa?
SI unit ya Kikristo ni Bible siyo Lusekelo, yeye alikuwa a nakumbushia turudi kwenye misingi. Tuachane na maneno ya wanaharakati wanasema bint hata akikohoa tu bikra inatoka! Waafrika tumeingizwa chaka tukakubali.
 
Nani anajali tena hicho kitabu cha muongozo wa wazungu wa Karne ya 1 huko?
Tuna tamaduni zetu za kikabila, kitanzania na kiafrika, zina miongozo ya kufuata inayotosha
Tena mila na tamaduni(miongozo) ya Kiafrika ili piga marufuku binti kujamiiana kabla hajaolewa. Tena akienda "unyago" wa nakaguliwa na makungwi wakikuta tobo, hafundishi huyo anahesabika mzoefu anarudishwa nyumbani kwao-aibu kwa wazazi wake. Hata siku ya ndoa mashangazi lazima wakakague mashuka, wasipokuta alama nyekundu atajua bint alisha kuwa mlango wa garage, malori, mabus na Bajaji zilisha pita-ndoa inaweza vunjika mahali ikarudishwa!
 
"Kibiblia mwanamke yeyote ukimkuta hana bikira huyo sio mke wako ni mke wa aliembikiri. Biblia inasema usimuache mke wa ujana wako ndoa ni agano na hakuna agano linafanyika bila damu. Agano la Mungu na wanadamu damu ya yesu ilimwagika.

Kwa hiyo agano la ndoa ni damu itoke yaani uone alama za ubikiri na mwanamke yule mwanaume wa kwanza aliembikiri huwa hamsahau kamwe" - Mchungaji Anthony Lusekelo(Mzee Wa Upako) akihojiwa Wasafi TV/FM

Huu ni upotoshaji na ni matokeo ya kunywa Konyagi kubwa bila kula

Atuambie iweje Daudi alimuoa mke wa Uria na akamzaa Solomon aliyekuwa mfalme. Je huyo mke wa Uria alikuwa bikira?
 
Achana na concept, mimi hata sina shida na Concept.
Hata concept tu umedanganya mbali na Kusema kuna wamishenari walijenga hospital iliyokuwa inatibu wakristo tu.
Hapana. Sikuwa specific hivyo.
Point ni mashule na hospitali au vituo vya afya vilipendelea waliogeukia ukristo kuliko walioamua kuendelea na imani zao.

Siku zote - wamisionari walifanya kazi ya kumtenganisha muafrika na utamaduni wake ili atawalike kirahisi.
Hata leo hii, wachungaji na mapadre wanasimamia utengano huo.
 
Kwa kizazi hiki ni cha kuwaza ati mkeo atachapwa na aliembikiri wakati ana miaka 14 sijui 15 huko, hayo mambo labda wanawake wa zamani wasio waza vikoba na marejesho.
Acha kujidanganya upwilu ukibamba hakuna cha vikoba wala marejesho, atachapiwa huko huko kwenye vikoba.
 
Ki msingi bikra kwa mwanamke ni ishara ya uvumilivu, utii, heshma lakini ni ishara ya uaminifu kwa mumewe, na ni zawadi kubwa kuliko zawadi yoyote kwa mumewe. Hizi bikra mnazotoana kwa mabakuri ya chipsi zinaharibu sana wake za watu. Na ndio maana mwanamke haweziachana kamwe na mwanaume alomtoa bikra na hawezi kumsahau mpaka anakufa, kama mnabisha wadada mko humu semeni wengi tunaishi na wanawake sio wake zetu humu. Ki msingi mwanamke asiye bikra hata harusi kwake hatakiwi kufanyiwa coz wewe utakayelala naye hautakuwa na jambo jipya kwake.
 
Siyo
Hapana. Sikuwa specific hivyo.
Point ni mashule na hospitali au vituo vya afya vilipendelea waliogeukia ukristo kuliko walioamua kuendelea na imani zao.

Siku zote - wamisionari walifanya kazi ya kumtenganisha muafrika na utamaduni wake ili atawalike kirahisi.
Hata leo hii, wachungaji na mapadre wanasimamia utengano huo.
Siyo kweli aliyemwambia hivyo alikulisha matango pori. Wakristo wanaongozwa na imani ya UPENDO hivyo waliamini ukimtibu mtu asiye amini, huyo mtu utamvuta kukufuata kwa sababu umemuinyesha upendo siyo kutolea jambia.
 
Swali 1. Unamjuaje kama ni used? Na wakati unamkagua unaruhusiwa kushiriki naye?

Swali 2. Vipi kwa upande wa mwanaume?

3. Na kwa mujibu wa Quran je?
 
Hapana. Sikuwa specific hivyo.
Point ni mashule na hospitali au vituo vya afya vilipendelea waliogeukia ukristo kuliko walioamua kuendelea na imani zao.

Siku zote - wamisionari walifanya kazi ya kumtenganisha muafrika na utamaduni wake ili atawalike kirahisi.
Hata leo hii, wachungaji na mapadre wanasimamia utengano huo.
Chief, kadili unavyo endelea kuandika ndivyo unazidi kujifunua zaidi.
Nilidetect uongo mbili kwenye koment yako ya hawali japo nikakuonyesha moja.
Na katika kujibu huo uongo umeibua uongo mwingine kwa kudhani UNAJISAFISHA KUMBE NDIYO UNAHARIBU ZAIDI.

1)Ulisema "HUKO KWENU KUNA WAMISHENI WALIJENGA HOSPITAL YA KUTIBU WAKRISTO TU".
Kwangu mimi huu ni uongo japo sipajui huko kwenu.

2) umedanganya kuhusu CRUSADE.
Crusade ilikuwa ni RETALIATION na sio kama ulivyoeleza wewe kuwa wakristo walijaribu ku- down throath iman yao kwa non Christian.

3) umedanganya kwa KUSEMA"HAUKUWA SPECIFIC" wakati comment yako ya hawali ulikuwa specific kwa KUSEMA"HUKO KWENU".
KUSEMA HUKO KWENU HIYO SPECIFIC TAYARI.
 
SI unit ya Kikristo ni Bible siyo Lusekelo, yeye alikuwa a nakumbushia turudi kwenye misingi. Tuachane na maneno ya wanaharakati wanasema bint hata akikohoa tu bikra inatoka! Waafrika tumeingizwa chaka tukakubali.
bikra zinatoka kwa namna mbalimbali, sio lazima tendo.

1. pia, kuna wanawake mabikira wanabakwa, utasema hao waliowabaka ndio waume zao?
2. kuna wajane wanapata waume, hao wana ndoa au sio ndoa?

ukijibu hayo mawili nitajua unajua unachoongea au la.
 
kilichobaki kwa mzee wa nyagi ni kukubali tu ushoga, manake uislam kaukubali, mitara kaikubali, alioa mke asiye bikra lakini anamkataa anasema sio wake kwasababu hakumbikiri yeye, bado nini sasa?
 
Ki msingi bikra kwa mwanamke ni ishara ya uvumilivu, utii, heshma lakini ni ishara ya uaminifu kwa mumewe, na ni zawadi kubwa kuliko zawadi yoyote kwa mumewe. Hizi bikra mnazotoana kwa mabakuri ya chipsi zinaharibu sana wake za watu. Na ndio maana mwanamke haweziachana kamwe na mwanaume alomtoa bikra na hawezi kumsahau mpaka anakufa, kama mnabisha wadada mko humu semeni wengi tunaishi na wanawake sio wake zetu humu. Ki msingi mwanamke asiye bikra hata harusi kwake hatakiwi kufanyiwa coz wewe utakayelala naye hautakuwa na jambo jipya kwake.
Sahihi
 
Back
Top Bottom