Kibinadamu ilinibidi nilimrudishe binti wa dukani baada ya kujifungua lakini kibiashara nahisi nilikosea heri ningempa mtaji

Ubinadamu na biasjara wapi na wapi? Wahindi wamefanikiwa sana kwa sababu hawana kitu kinaitwa kuchanganya Biashara na ubinadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…