Kibiti mpaka laana ya Cabo Delgado: Part II

Ndo mana Police waliwashindwa mpaka JW Komando walipoingilia kati kuwa maliza.
Hawakuwamaliza,walikimbilia msumbiji,ile ni project ya watu kwenye Swahili coast na biashara ya nishati,toka Somalia, Kenya, Tanzania mpaka msumbiji
 
Nilikua jirani yake kwake ubungo kibangu,Kuna siku alikua na jarida la jwtz,mtu wa kusoma Sana na ni humble,halafu very emotional,hakawii kutoa chozi,sema ni mpenda haki,yaani haki mbele,mkweli yule jamaa
Symphasizer wa ugaidi huyo sawa na mzee saidi wa humu jf,hao kaa nao mbali ni hatari.
 
Kwanini waisalam tu,kwani huko hakuna wakristo?usilamu ni dini ya hovyo iliyo na mafundisho ya hovyo,
 
Natamani niandike Uzi nielemishe wazazi watoto wanabebwa sana kuwa recruiting kwenye Ugaidi wa kike wanakuwa Al Shabab Bride wapewe mafundisho ya dini ambapo mtu akija kumpotosha asipotoke kama Zanzibar watoto wengi wanachukuliwa sana na Kenya.
Nikweli kabisa,kuna binti wakati fulani nilikua naye kwenye mahusiano,ni binti wa kiislamu,alinambia alipo maliza 4m4 alipelekwa pemba kwenye chuo cha kufundishwa dini,huko ilikua na mafunzo ya imani kali tu,hadi viboko walikua wanachapwa kama watoto,hawakuwahi kutoka nje hadi siku anaondoka na walisafirishwa usiku,mpaka leo ukimuuliza niwapi hawezi kupajua.

Kunashida kwenye hi dini ya kiislam.
 
Wewe mpiga punyeto upate wapi demu za kipemba
Wewe jichukulie sheria mkononi kwa picha zao
 
Ndo mana Police waliwashindwa mpaka JW Komando walipoingilia kati kuwa maliza.
Polisi walikua na moles,mission zao karibu zote zilikua zinafeli,hadi walipoletwa makomando na kumwaga usalama wa kutosha,ndio waliweza kukamata mmoja baada ya mwingine na kugundua misikiti kadhaa iliyokuwa ikitumika kama stoo za silaha na eneo la mafunzo kwa magaidi hayo.

Magaidi unamalizana nayo kigaidi,hakuna kupelekana mahakamani.
 
Dini haina shida
Shida wanao potosha kutumia mwamvuli wa dini Kwa maslahi yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…