Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Somalia ni nchi ya kiislam. Mbona magaidi wanatamba na kuuwa watu kila kukichaNchi za kiislamu huwezi kufanya ugaidi wala mambo ya hovyo kwa sababu huwezi kuchukua round lazima uapte unachostahili.
Somalia kuna kuingiliwa kweny maslahi ya nchi na watu wa magharibi ndio chanzo cha vita , libya chini ya Gaddaf ilikuwa safi ila sasa kaone balaa lake.Somalia ni nchi ya kiislam. Mbona magaidi wanatamba na kuuwa watu kila kukicha
Ajaribu mtu, hatujawahi kushindwaTanzania inapoelekea naionea huruma sana.
Wao wanasema JKT haitoi ajira 😀 ila cha kusikitisha wanawapa mafunzo halafu wanawarudisha mitaani mikono mitupu.
Tunapanda mahindi tunategemea tutavuna mpunga😀.
Kila mwaka unamwaga tu mitaani JKT waliokosa matumaini unategemea nini sasa ? ila walio kwenye connection mnawaajiri mnafikiri hawa wengine wanawatazama tu.
JWTZ NA JKT MNATENGENEZA MAGAIDI NA WAASI WENDA KWA KUJUA AU KWA KUTOKUJUA.
Kwako alikua ameongea jambo jipya sanaKuna mwamba mmoja mshkaji wangu na yeye alikua miongoni mwa wanajeshi walioletwa kibiti baada ya operation oile kuwashinda polisi, kipindi hiko nakaa maeneo ya mkuranga. Mwamba ndio alikua ametoka mafunzo Israeli, e bwana eeh, alinambia mambo ya kutisha sana. Anasema nyie watu hamjui nini kinaendelea, haya mnayoyasoma ni sehemu ndogo sana ya kile ambacho kiuhalisia ndio kinaendelea.
SanaaKwako alikua ameongea jambo jipya sana
😂Sijui