Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Tanzania inapoelekea naionea huruma sana.
Wao wanasema JKT haitoi ajira 😀 ila cha kusikitisha wanawapa mafunzo halafu wanawarudisha mitaani mikono mitupu.
Tunapanda mahindi tunategemea tutavuna mpunga😀.
Kila mwaka unamwaga tu mitaani JKT waliokosa matumaini unategemea nini sasa ? ila walio kwenye connection mnawaajiri mnafikiri hawa wengine wanawatazama tu.
JWTZ NA JKT MNATENGENEZA MAGAIDI NA WAASI WENDA KWA KUJUA AU KWA KUTOKUJUA.