Kibiti mpaka laana ya Cabo Delgado: Part II

Tanzania inapoelekea naionea huruma sana.

Wao wanasema JKT haitoi ajira 😀 ila cha kusikitisha wanawapa mafunzo halafu wanawarudisha mitaani mikono mitupu.

Tunapanda mahindi tunategemea tutavuna mpunga😀.

Kila mwaka unamwaga tu mitaani JKT waliokosa matumaini unategemea nini sasa ? ila walio kwenye connection mnawaajiri mnafikiri hawa wengine wanawatazama tu.

JWTZ NA JKT MNATENGENEZA MAGAIDI NA WAASI WENDA KWA KUJUA AU KWA KUTOKUJUA.
 
Mada kuhusu ugaidi upande wa dini za kiislamu unabidi kugeukiana wenyewe hii msemo "waislamu wote ni ndugu" mbona saudia na uturuki wanaogopa.
Kiufupi nakumba maneno ya mwalimu kuna siku mtamalizana wenyewe kwa wenyewe mkishinda pamoja
 
Mada kuhusu ugaidi upande wa dini za kiislamu unabidi kugeukiana wenyewe hii msemo "waislamu wote ni ndugu" mbona saudia na uturuki wanaogopa.
Kiufupi nakumba maneno ya mwalimu kuna siku mtamalizana wenyewe kwa wenyewe mkishinda pamoja
Nchi za kiislamu huwezi kufanya ugaidi wala mambo ya hovyo kwa sababu huwezi kuchukua round lazima uapte unachostahili.
 
Basil Mramba Wakati akiwa waziri wa uchukuzi alishawahi kusema

hata kama wananchi wakila nyasi, ndege ya raisi lazima inunuliwe”

Kuna muda viongozi wana kauli za dharau sana.
 
Makala murua kabisa. lakini wenye uwezo mdogo wa akili wataendelea kuishutumu dini badala ya mzizi halisi wa tatizo. Utawala mbovu wa serikali zetu na mgawanyo wa huduma usiojali wananchi, rushwa na ukandamizaji huzaa haya yote. Watu katika mazingira haya ni rahisi sana kurubuniwa na mabeberu ili tu msitulie na wao waendelee kuchota mali.
 
No wonder Magufuli aliwatandika wale jamaa bila huruma na wengine ndio wakakimbilia huko Msumbiji, hawafai wale wakiingia mtaani hawakumbuki ndugu, rafiki wala jirani, ni risasi tu zitatembea mpaka wamalize kazi yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…