Sendoro Mbazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 3,329
- 2,169
Ndio sawa yao tu, wakawahi wale 72No wonder Magufuli aliwatandika wale jamaa bila huruma na wengine ndio wakakimbilia huko Msumbiji, hawafai wale wakiingia mtaani hawakumbuki ndugu, rafiki wala jirani, ni risasi tu zitatembea mpaka wamalize kazi yao.
Kunjua mkono mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwenye connection ya uhakika ya kujiunga na Ansar Al-sunna anipe. I'm tired of this corrupt tz.
Nikipata mafuzo ningependa kuanza na immigration tz walioninyima passport eti Hadi niwape rushwa
Mbona wanashambulia raia badala ya viongozi wanaosababisha hayo matatizo?Makala murua kabisa. lakini wenye uwezo mdogo wa akili wataendelea kuishutumu dini badala ya mzizi halisi wa tatizo. Utawala mbovu wa serikali zetu na mgawanyo wa huduma usiojali wananchi, rushwa na ukandamizaji huzaa haya yote. Watu katika mazingira haya ni rahisi sana kurubuniwa na mabeberu ili tu msitulie na wao waendelee kuchota mali.
Ndio maana kwenye graduation zao husisitizaga uzalendo na kuto tumia mafunzo vibaya..Tanzania inapoelekea naionea huruma sana.
Wao wanasema JKT haitoi ajira 😀 ila cha kusikitisha wanawapa mafunzo halafu wanawarudisha mitaani mikono mitupu.
Tunapanda mahindi tunategemea tutavuna mpunga😀.
Kila mwaka unamwaga tu mitaani JKT waliokosa matumaini unategemea nini sasa ? ila walio kwenye connection mnawaajiri mnafikiri hawa wengine wanawatazama tu.
JWTZ NA JKT MNATENGENEZA MAGAIDI NA WAASI WENDA KWA KUJUA AU KWA KUTOKUJUA.
Kuna uzi wa part 1 alianza nao. Sasa badala ya kuendelea kwenye uzi ule ule kaanzisha uzi mwingine wa part 2 ina maana part 3 ataanzisha uzi mwingine.Ungejibu swali kwa ufafanuzi ungepungukiwa nini!?
Kutokana na andiko lako hili imebidi niutafute nimeukuta jukwaa tofauti na hiliKuna uzi wa part 1 alianza nao. Sasa badala ya kuendelea kwenye uzi ule ule kaanzisha uzi mwingine wa part 2 ina maana part 3 ataanzisha uzi mwingine.
Sorry nilidhani unaujua uzi wa kwanza ukaamua kunizingua.
Kuna mbwa moja inasema tuhamie Burundi nadhani amani imewalevya.Basil Mramba Wakati akiwa waziri wa uchukuzi alishawahi kusema
“hata kama wananchi wakila nyasi, ndege ya raisi lazima inunuliwe”
Kuna muda viongozi wana kauli za dharau sana.
Uko ndio tunapoelekea unafikiri vijana wanapenda kukalishwa bila ajira zozote za kueleweka.Ndio maana kwenye graduation zao husisitizaga uzalendo na kuto tumia mafunzo vibaya..
Raia wa kawaida wa Tz 'layman & women' Ni waoga Sana wa bunduki na vurugu for sure watu walio pitia mafunzo ya JESHI hawaogopagi bunduki na waki be manipulated ndio balaa.
Yah hiyo ndio ilikua maana yangu tunakosa mtitiriko mmoja. Kule kuna wadau nao wamechangia. Sasa angeweka nyuzi moja mtitiriko ungekua mzuri.Kutokana na andiko lako hili imebidi niutafute nimeukuta jukwaa tofauti na hili
upo jamii intel kule.
ISIS walikuwa wanafanya Syria
Huko Iraq mashambulizi ya Kigaidi kila siku au hizo nchi siyo za kiislam?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
hakikaMakala murua kabisa. lakini wenye uwezo mdogo wa akili wataendelea kuishutumu dini badala ya mzizi halisi wa tatizo. Utawala mbovu wa serikali zetu na mgawanyo wa huduma usiojali wananchi, rushwa na ukandamizaji huzaa haya yote. Watu katika mazingira haya ni rahisi sana kurubuniwa na mabeberu ili tu msitulie na wao waendelee kuchota mali.
Kuweka nyuzi jamii intelligence ni kama kuomba kazi Utumishi. Unapost then unakaa kungoja watakapojisikia.Yah hiyo ndio ilikua maana yangu tunakosa mtitiriko mmoja. Kule kuna wadau nao wamechangia. Sasa angeweka nyuzi moja mtitiriko ungekua mzuri.
I hope Moderator watamsaidia kwa hili.
Duuh. Sasa wahamishie habari na hoja mchanganyiko ..Kuweka nyuzi jamii intelligence ni kama kuomba kazi Utumishi. Unapost then unakaa kungoja watakapojisikia.
Hii nimekumbuka mwanzoni mwa 2010s kuna Vijana waliajiriwa JWTZ kama Wanajeshi wakapangwa kambi tofauti tofauti Nchini baadae likatoka tangazo kuwa Vijana wote walioajiriwa wapya ambao hawakufika form 4 yaani walioishia Darasa la Saba wote wapigwe chini. Kuna jamaa fulani alitokea Temeke Mikoroshini yeye alipangwa kambi moja kule Kigoma akarudi zake home.Tanzania inapoelekea naionea huruma sana.
Wao wanasema JKT haitoi ajira 😀 ila cha kusikitisha wanawapa mafunzo halafu wanawarudisha mitaani mikono mitupu.
Tunapanda mahindi tunategemea tutavuna mpunga😀.
Kila mwaka unamwaga tu mitaani JKT waliokosa matumaini unategemea nini sasa ? ila walio kwenye connection mnawaajiri mnafikiri hawa wengine wanawatazama tu.
JWTZ NA JKT MNATENGENEZA MAGAIDI NA WAASI WENDA KWA KUJUA AU KWA KUTOKUJUA.
Mkuu ukiweka uzi namba 3 naomba unitag.Kuweka nyuzi jamii intelligence ni kama kuomba kazi Utumishi. Unapost then unakaa kungoja watakapojisikia.