John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Do your own Research.Tusaidie kw faida ya wengi
Avoid a 'Spoon feeding.'
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Do your own Research.Tusaidie kw faida ya wengi
Wasun mnataka mumshughulikie sio. Acha kumtega jamaa.Oyaa we Cop Steve nimeku PM namba yangu utaikuta huko tuyajenge mambo fulani hivi
Andika tu mkuu, km wao wanawachafua wewe kwann usijisafishe ?UKIWA MAKINI BILA KUFUNGAMANA NA UPANDE WOWOTE UTAGUNDUA MUANDISHI NDIO ANATENGEZENEZA PICHA YA KUHUSISHA UISLAMU NA UGAIDI ETI KISA TU ANAANDIKA ANSAR SUNNA. HIZO NDIO PROPAGANDA TUNAZOZIKATAA KWA NGUVU ZOTE.! SEHEMU TAYARI UNAONA INA RASIMALI ZA KUTOSHA KAMA GESI SASA WW UNADHANI WAZUNGU WATAWAACHA KWA AMANI.
LAZIMA WATUMIE UISLAMU KAMA KIKI KUFANIKISHA MAMBO YAO NA TAYAR WA AFRICA AKILI ZA KUFIKIRIA NI FINYU BASI WAO WANABEBA KILA AINA YA NENO WANALOLISIKIA.
SASA HAO WAISALAMU HAPO WANAUA WATU ALAFU WAO WANAPATA FAIDA GANI.?? KISHA HIYO GESI WAIPELEKE WAPI ?? ALAFU KWANN WANAOKUFA NI HAO HAO WAISLAMU WAKAZI WA MAENEO HAYO.?? HUJIULIZI PIA
???????
KUNA VITU SENSITIVES HATUWEZI KUVIANDIKA HAPA MANA MSHAZOEA KUBISHANA MTAONA PIA NI UONGO MANA NYIE MKISHA AMINI KITU NDIO HICHO HICHO HAMBADILIKI MNA VICHWA VIGUMU VYA KUKUBALI UKWELI
???
Acheni acheni utoto wenu wa chitchat..😂Asante!
Naona umetoka kazini unaperuzi humu
peleka mikwara karume kwenye kahawa.Kuna mwamba mmoja mshkaji wangu na yeye alikua miongoni mwa wanajeshi walioletwa kibiti baada ya operation oile kuwashinda polisi, kipindi hiko nakaa maeneo ya mkuranga. Mwamba ndio alikua ametoka mafunzo Israeli, e bwana eeh, alinambia mambo ya kutisha sana. Anasema nyie watu hamjui nini kinaendelea, haya mnayoyasoma ni sehemu ndogo sana ya kile ambacho kiuhalisia ndio kinaendelea.
R U stressed?????. Hapo hujapigwa mkwara unalia lia, yakikukuta je?.peleka mikwara karume kwenye kahawa.
Of cozR U stressed?????. Hapo hujapigwa mkwara unalia lia, yakikukuta je?
Grow up.Of coz
Katika nchi zetu hizi za Afrika, pale Utawala uliopo madarakani unaposhindwa ktk jambo fulani na kisha kusababisha Mgogoro au kero fulani kwa jamii, Utawala huo huwa unakimbilia kufanya Propaganda chafu (negative propaganda) ya kuwachafua wale Raia wote wanaoonekana kupinga au kukosoa Utawala uliosababisha kero hiyo kuibuka kwa kuwabatiza majina mabaya mabaya Kama vile Magaidi, waasi, wahaini, vibaraka wa mabeberu, nk, nk.Kuna mwamba mmoja mshkaji wangu na yeye alikua miongoni mwa wanajeshi walioletwa kibiti baada ya operation oile kuwashinda polisi, kipindi hiko nakaa maeneo ya mkuranga. Mwamba ndio alikua ametoka mafunzo Israeli, e bwana eeh, alinambia mambo ya kutisha sana. Anasema nyie watu hamjui nini kinaendelea, haya mnayoyasoma ni sehemu ndogo sana ya kile ambacho kiuhalisia ndio kinaendelea.
Una point mkuu.Katika nchi zetu hizi za Afrika, pale Utawala uliopo madarakani unaposhindwa ktk jambo fulani na kisha kusababisha Mgogoro au kero fulani kwa jamii huwa Utawala huo huwa unakimbilia kufanya Propaganda chafu (negative propaganda) ya kuwachafua wale Raia wote wanaoonekana kupinga au kukosoa Utawala uliosababisha kero hiyo kuibuka kwa kuwabatiza majina mabaya mabaya Kama vile Magaidi, waasi, wahaini, vibaraka wa mabeberu, nk, nk.
Kwa mfano, Jaribu tu kujiuliza Kama tatizo lililopo huko Cabo Delgado nchini Msumbiji ni Ugaidi wa Kiislamu, Je, kwa Nini Ugaidi huo upo katikà eneo hilo lenye machimbo ya gesi tu peke yake na wala siyo katika nchi yote ya Msumbiji??????
Ww unaweza kuwa jirani yangu kabisaHii nimekumbuka mwanzoni mwa 2010s kuna Vijana waliajiriwa JWTZ kama Wanajeshi wakapangwa kambi tofauti tofauti Nchini baadae likatoka tangazo kuwa Vijana wote walioajiriwa wapya ambao hawakufika form 4 yaani walioishia Darasa la Saba wote wapigwe chini. Kuna jamaa fulani alitokea Temeke Mikoroshini yeye alipangwa kambi moja kule Kigoma akarudi zake home.
Baada ya muda fulani akapata dili la kuwa Mzee wa Chuma,anapewa dili na location pamoja na chuma anaenda kupiga kazi,aisee baadae akanogewa akawa anafanya peke yake kwa kushirikiana na baadhi ya Polisi wa Temeke na Ilala,jamaa alikuwa Master hatari shabaha imelala akafikia hatua akawa anafanya matukio mchana kweupe kabisa kwa kutumia boxer akiwa na dereva wake mpaka Kariakoo alifanya matukio mchana kweupe na halamatwi,baadae ikafikia akijua unamfuatilia tuu analamba shaba,polisi ukijependekeza unakula shaba,aliwahangaisha sana Kanda maalumu ya Dar mpaka kuja kumtageti na kumuua kule Mbagala akiwa kwa Maganga Polisi wa Chang'ombe na Kanda maalumu Dar jasho liliwatoka.
Analalamika inahusu Uislamu na UgaidiIli iweje? Mbona uzi haujakaa kichochezi? Au mimi ndiyo sijauelewa?
Umesema ukweli kabisa!Tanzania inapoelekea naionea huruma sana.
Wao wanasema JKT haitoi ajira 😀 ila cha kusikitisha wanawapa mafunzo halafu wanawarudisha mitaani mikono mitupu.
Tunapanda mahindi tunategemea tutavuna mpunga😀.
Kila mwaka unamwaga tu mitaani JKT waliokosa matumaini unategemea nini sasa ? ila walio kwenye connection mnawaajiri mnafikiri hawa wengine wanawatazama tu.
JWTZ NA JKT MNATENGENEZA MAGAIDI NA WAASI WENDA KWA KUJUA AU KWA KUTOKUJUA.
Funguka zaidi mkuu! Hii ni nchi yetu sote. Tuna haki ya kufahamu kila kitu!Kuna mwamba mmoja mshkaji wangu na yeye alikua miongoni mwa wanajeshi walioletwa kibiti baada ya operation oile kuwashinda polisi, kipindi hiko nakaa maeneo ya mkuranga. Mwamba ndio alikua ametoka mafunzo Israeli, e bwana eeh, alinambia mambo ya kutisha sana. Anasema nyie watu hamjui nini kinaendelea, haya mnayoyasoma ni sehemu ndogo sana ya kile ambacho kiuhalisia ndio kinaendelea.