GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Nafikiri hajamwelewa mtoa mada. Mimi sijaona kama uzi una mrengo wa kidini.Analalamika inahusu Uislamu na Ugaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafikiri hajamwelewa mtoa mada. Mimi sijaona kama uzi una mrengo wa kidini.Analalamika inahusu Uislamu na Ugaidi
Wa Kibiti walikuwa dini gani?Ulivyokuwa huko kipindi hicho uliwahi.kukemea mauaji hayo?Wa kibiti walikua wanaua viongozi wa CCM,polisi,hawakua raia,nilikua huko kipindi hicho,palikua na maneno mitaani kwamba hao jamaa walifunzwa na mtu/watu toka jeshini
Aliondoka kwa mujibu wa mkataba alopewa na jeshi la polisi. Huduma yake ilikuwa inatamatika April 6, 2021 hivyo asingeweza kuendelea.Alipohojiwa, alisema kauli hii; "Mungu, wasaidie watu wale."
Kipi kilichompelekea azungumze haya,?Alikwenda kuwasaidia,halafu anaondoka anajua fika anawaacha matatani.
Nirudie unielewe,Alikwenda kutatua tatizo,tatizo halijesha anaondoka na anawaombea Kwa Mungu.Aligundua Nini?
SteveMollel
Kuutetea ugaidi ni kazi sana maalimDo your own Research.
Avoid a 'Spoon feeding.'
Ni kweli kabisa unachosema, Ugaidi kwanza hauteteeki.Kuutetea ugaidi ni kazi sana maalim
Kaka hao si ndio wale waliokimbia Kibiti kwanini sio ugaidiNi kweli kabisa unachosema, Ugaidi kwanza hauteteeki.
Lakini ktk Mgogoro huo wa huko Msumbiji tatizo siyo Ugaidi hata kidogo, nina uhakika na hicho nilichoeleza.
Sio special hapa duniani, ila kwa Tanganyika hii (isome Tanzania) ni special sana, wamefanikiwa kuthibitisha hilo pale wanapohusika / wanapohitajika.Ni kweli ni ndoto😀
Kwamba wao JWTZ na JKT ni special sana hapa duniani😀
JWTZ wanahusika vipi na panya road?Hao hao JWTZ unao wasifia ndio mambo ya panya road yametokea hapa hapa nchini tena chini ya vitoto vidogo tu na watu wazima kulazwa ndani mapema kama kuku.
Na hapo ndipo heshima yao ndani ya mipaka ya hii nchi ilisimama tena.Hili hili taifa ndilo yale ya kibiti yalitokea na JWTZ ikiwepo.
Ni vizuri zaidi unapotaka kulizungumzia jambo, haswa hadharani Kama hivi, Jitahidi uwe na details sahihi.Rais wa nchi mchonga alinusurika kupinduliwa na hao hao JWTZ wengine kwa zaidi ya mara moja.
Nimekuuliza hii program ya JKT mujibu + hiyari imeanza Mwaka gani?Wewe unafikiri hao vijana wa JKT wataendelea kuwa humble miaka yao yote huku umasikini ukiwatandika vilivyo na wanaona wakubwa wao wakitumbua tu mali na kufanya ufisadi na viongozi wa serikali huku wao wakiimbiwa uzalendo.
Uzuri ni kwamba wewe sio muwakilishi wao so maneno yako haya ni Sawa na mashairi ya Segere jandoni.Unafikiri watu wanakula uzalendo etii ehhhh nakusisitiza hawa vijana sio kwamba hawawezi kufanya ila wanakosa supplier wa silaha tu maana kila sababu ya ku go against serikali wanayo hawahitaji kuambiwa na yoyote.
Siku itakayofika ya kumface mchawi halisi wa nchi hii, Tanzania itanyanyuka.Ubaya au uzuri mtaani maisha kila siku yanazidi kuwa tight kwa sababu ya uongozi na hakuna mabadiliko yoyote yale.
Again; tafiti taarifa zako kwa umakini na uzipate sahihi ndipo uwasilishe hoja hadharani.Hata huko Msumbiji naamini kabisa walikuwepo wananchi na viongozi waliokuwa wana ongea kama wewe awali ila leo hii kiko wapi ?
Wataje kwa majina na uweke history ya masaa yao 72 kabla ya kupotea kwao.Tanzania leo hii tu kuna vijana wamepotea na hawaeleweki walipoenda.
Unless useme wewe ndio hujui hizo silaha zinakopatikana ama unataka ramani ya kufika huko na kununuliwa kabisa. Unapenda kamseleleko eeh?Ogopa sana mtu aliyechoka umasikini na akapata silaha huyu maana ya maisha kwake inakuwa haina uzito tena.
Sina uhakika na wala sijui kwa sababu hakuna independent sources zilizotoa taarifa za uhakika kuhusiana na suala la Mauaji yaliyojiri huko MKIRU (Mkuranga, Kibiti na Rufiji). Na hata Serikali yenyewe ya Tz haijawahi kutoa taarifa za ukweli, hakika na za kuaminika kuhusu suala hili. Badala yake zipo tu taarifa za juu juu na rumors kwamba Mauaji hayo yalikuwa ni matukio ya kigaidi, hali inayoibua maswali mengi Sana bila ya kupata majibu. Kama kweli Mauaji hayo ya huko MKIRU yalitokana na vitendo vya kigaidi, Je, kwa nini Watu waliokuwa wakilengwa na wauaji walikuwa na sifa fulani fulani za kufanana????Ni kwa Nini Mauaji hayo ya 'kigaidi' yalifanyika kwenye hilo eneo dogo tu la MKIRU na Wala siyo ktk mikoa yote ya Tanzania yenye Waislamu wengi???? Why MKIRU only????Kaka hai si ndio wale waliokimbia Kibiti kwanini sio ugaidi
Sina uhakika na wala sijui kwa sababu hakuna independent sources zilizotoa taarifa za uhakika kuhusiana na suala la Mauaji yaliyojiri huko MKIRU (Mkuranga, Kibiti na Rufiji). Na hata Serikali yenyewe ya Tz haijawahi kutoa taarifa za ukweli, hakika na za kuaminika kuhusu suala hili. Badala yake zipo tu taarifa za juu juu na rumors kwamba Mauaji hayo yalikuwa ni matukio ya kigaidi, hali inayoibua maswali mengi Sana bila ya kupata majibu. Kama kweli Mauaji hayo ya huko MKIRU yalitokana na vitendo vya kigaidi, Je, kwa nini Watu waliokuwa wakilengwa na wauaji walikuwa na sifa fulani fulani za kufanana????Ni kwa Nini Mauaji hayo ya 'kigaidi' yalifanyika kwenye hilo eneo dogo tu la MKIRU na Wala siyo ktk mikoa yote ya Tanzania yenye Waislamu wengi???? Why MKIRU only????
Ule ni ugaidi wale jamaa walitumia njia ya kuwalenga viongo wa serikali na chama ili wapate uungwaji mkono na Wananchi.Sina uhakika na wala sijui kwa sababu hakuna independent sources zilizotoa taarifa za uhakika kuhusiana na suala la Mauaji yaliyojiri huko MKIRU (Mkuranga, Kibiti na Rufiji). Na hata Serikali yenyewe ya Tz haijawahi kutoa taarifa za ukweli, hakika na za kuaminika kuhusu suala hili. Badala yake zipo tu taarifa za juu juu na rumors kwamba Mauaji hayo yalikuwa ni matukio ya kigaidi, hali inayoibua maswali mengi Sana bila ya kupata majibu. Kama kweli Mauaji hayo ya huko MKIRU yalitokana na vitendo vya kigaidi, Je, kwa nini Watu waliokuwa wakilengwa na wauaji walikuwa na sifa fulani fulani za kufanana????Ni kwa Nini Mauaji hayo ya 'kigaidi' yalifanyika kwenye hilo eneo dogo tu la MKIRU na Wala siyo ktk mikoa yote ya Tanzania yenye Waislamu wengi???? Why MKIRU only????
Mmmhh!!Ule ni ugaidi wale jamaa walitumia njia ya kuwalenga viongo wa serikali na chama ili wapate uungwaji mkono na Wananchi.
Kwani wanavyo iyandama Kenya wana ishambulia Kenya yote?Mmmhh!!
Ili waweze kuitawala 'nchi hiyo' ya Mkuranga, Kibiti na Rufiji au ?????
Mi si mwendawazimu kukemea mtu nisiyemjua,siwezi kupayuuka kimajnuni kinywa kipana hadharani,barabarani,sokoni,ndani ya basi Kama wale wahubiri wa dini ileWa Kibiti walikuwa dini gani?Ulivyokuwa huko kipindi hicho uliwahi.kukemea mauaji hayo?
Sasa story za Buyobe utazikuta huku? Si umcheki Twitter, mkuu.Naitafuta ile story ya buyobe kuhusu Kibiti, anayeikumbuka naomba link
JD nimekumiss Samson 😁Oyaa we Cop Steve nimeku PM namba yangu utaikuta huko tuyajenge mambo fulani hivi
Telegram akalipie 3000Sasa story za Buyobe utazikuta huku? Si umcheki Twitter, mkuu.