Kiboko ya wabambiaji kwenye daladala

Kiboko ya wabambiaji kwenye daladala

Wote ni wale wale tu na inawezekana wewe ndio huyo ulikuwa unachezea maumbile ya mwana umekuja hapa kujihami. Inawezekana vipi mtu asikujue aje akuchezee uume mbele za watu kwenye daladala alafu eti uliacha? Mbona sisi tunasafiri kwenye hizo daladala na mwendo kasi hatujawahi fanyiwa hivyo? Hii yako kama sio chai basi ni wewe ulikuwa unamfanyia hivyo mjuba.
Tatizo unatumia hisia, ruhusu akili ielewe kisa.
Na kama si wewe shoga utuliee
 
Kuna mshangazi anaonekana age around 37-42. Ni wale waliojichubua shavu jekunduu kwa uvaaji wake inaonekana ni mlinzi maeneo ya posta, tulipanda wote mwendokasi posta nilitakiwa nishuke fire nilipitiliza mpaka shekilango, alinisogezea zigo na ile jam nakwepa nayeye ananiletea alafu ananiangalia jicho la uchokozi na ufupi wake. Nilivyoshuka nilijisachi nikahakikisha kila kitu changu kipo maana mji una mengi wenye mengi.
Ulikua makini, ungejisahau ungesauliwa Mkuu.
 
Unakuta jitu limekuganda kwenye daladala kama ruba.

Ukigeuza wowowo limo tu, ukisogea mbele linakuvamia huko huko. Unabambiwa mpaka wowowo linaumuka.

Ukigeuka kumwangalia anageuza shingo anajifanya anahesabu sisimizi. Ukigeuka mbele anaendelea kukubambia mpaka unahisi jitu limetuna.

Sasa dawa imepatikana, kuna mavazi spesho kutoka Italy yenye mimba kama nungunungu. Unavaa hilo hakuna dungadunga atakusogelea.

Sketi ina miba mchongoko. Ukigusa nchale, ukisogea nchale.

Tutaelewana tu.
Ngapi hukooo🤪
 
Sijapanda mwendokas siku nyingi, napenda kubambiwa mie hasa asbh na jioni yaan raha
 
Back
Top Bottom