Kiboko ya Wachawi aamua kuwaanika manabii wenzake, lengo ni nini?

Share hiyo clip hapa ,maana uwasilishaji wako ni wa mwendo kasi
 
Bongo wagalatia wengi mazuzu!acha wapigwe
 
Cha kushangaza wakristo badala wajadili na kupambana na hao wapuuzi walio igeuza dini yao kuwa kichaka cha kutapeli watu ,wao wako bize kuanzisha rundo la nyuzi za kukejeli na kuwakashifu waisilam hapa jf.
Jamaa wapuuzi sana,wanaacha kudili na matapeli wanaochafua dini yao,wapo bize na kobazi sijui kobaza
 
Shida sio yeye shida ni nyie ambao hamjui au hamfuundishwi Imani (creed) Wala misiingi ya Sheria "jurisprudence".

Hivyo Kila mtu anajifanyia atakavyo na vyote ni Sawa tu kwenu!
 
Hilo swali lako ndio jibu la mashaka yako.
 
mbona mimi niliwahi kumuona huyo kuhani Musa na sikudaiwa hiyo milioni 5 anayosema. niliingia bure kabisa kumuona na nikasaidiwa bure kabisa mpaka matatizo yangu yameisha. na kizuri zaidi kipawa na karama aliyopewa na kwangu imeanza kufanya kazi kwa sababu ilikuwa ni sehemu ya maombi yangu mwaka wa tano sasa.
hizo unazosikia milioni 5 mpaka laki tano ni kadi za huduma ya ujenzi unaendelea pamoja na vifaa vya mikutano mikubwa kwenye viwanja vya wazi. na ni hiyari sio lazima. uwe nayo usiwe nayo utamuona bila shida yoyote.
baraka za kujenga madhabahu ya kudumu na inayotembea ni kubwa mno.
wazungu walitujengea makanisa ndio maana wanafanya mambo makubwa. ukienda kwenye kanisa alilojenga mzungu, ukiomba chochote kabla Mungu hajakujibu wewe anamtazama aliemjengea madhabahu hiyo kwanza ndio unafuata wewe.
na ukijitolea chochote katika ujenzi Mungu anasema na mtumishi wake kuhusu wewe ili baraka zake zikujilie. na ndio maana mtumishi anamwambia mtu nione ofisini.
wengi hawajui kosa la pastor Dominique, kosa lake ni kusema vitu ambavyo havikutakiwa kwenda hewani kwenye radio au mitandao au TV.
alitaka kufichua vitu hadharani na wapinzani wake wachawi, waganga, mizimu, mashetani na washirikina wakamuwahi kwa kumstaki kwa waliompa kibali cha kuifanya huduma yake. hilo tu ndio kosa lake. Mungu alimpa karama akashindwa kuwa na hekima ndani ya huduma na utendaji wake.
yote kwa yote asianze kuwazushia wenzake, kila mmoja amepewa kipawa na Karama yake kwa jinsi Roho yule yule atoae apendavyo.
sioni haja ya wao kulumbana .
na asiendelee kumpa sababu shetani ya kufurahia
 
Pambaneni na uchachu ulio jazana kwenye dini yenu acheni kuwashwa washwa na waisilam.
to the top ni uislam, hao wengine feki wanakula za uso saizi yao sambamba nyie wote wenye kuamini imani na dini feki zenye mafundisho ya uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…