Kiboko ya Wachawi aamua kuwaanika manabii wenzake, lengo ni nini?

Kiboko ya Wachawi aamua kuwaanika manabii wenzake, lengo ni nini?

Kagame alishiti huu ungese akaonekana mafia sana bt binafsi nilimuunga mkono saaana kidogo tunachopata tulipe kodi na hawa wazee wa miuzijiza fake wapite nacho tena
 
Jamaa inaonekana bado hajaridhika kutimuliwa. Sasa anamsema kila mtumishi mwenzake maarufu wa Tanzania japo kwa mafumbo.

Anasema mzee wa ubungo ni tapeli wa kutupwa na ni mtu wa system.

Kuhani Moses wa temboni anadai amewahi kufukia jeneza uwanjani Mbagala akaweka alafa kwenye mkutano akafukua kama amagundua uchawi.

Analalamika yeye ametimuliwa kwa sababu ameweka kiingilio cha 500K kumuona wakati jamaa wa Temboni anakiingilio hadi cha 5,000,000. Wengine 1,000,000.

Anadai hajafukuzwa na Serikali bali wenzake walimuonea wivu maana alikuwa anakaribia kuikausha kawe.

Wakuu hii imekaaje. Jamaa anaongea kana kwamba Injili yake inawataka watanzania tu kwingine kafeli. Je, Bongo ndio wateja wakubwa wa injili ya mwendokasi na wepesi kutoa pesa za upako?
Juzi msaidizi wake de facto pastor Amin amesema kiwa kiboko ya wachawi alikuwa ameweka mafala ya maiti za watoto pale madhabahuni kwake .

Ukweli ni kuwa manabii wote mchwara hapa nchi ni wachawi tu na kiboko ya wachawi alikuwa hana siri alianza kusema wanapata nguvu ndio maana wakamuwahi
L

USSR
 
Klip yake anasema jamaa wa ubungo..
Inaonekana manabii na mitume ni kama association flani hivi wanajuana na huwa wanasaidiana kuinuana. Sasa jamaa kageuka mbogo kuona yeye katimuliwa wenzake wanafanya zaidi ya utapeli wake wanakula maisha. Kaamua kuwalipua/kuwachafua.
Alichokisema ndio ukweli wote waganga tu tu sema kinamuuma sana kutimuliwa

USSR
 
Jamaa inaonekana bado hajaridhika kutimuliwa. Sasa anamsema kila mtumishi mwenzake maarufu wa Tanzania japo kwa mafumbo.

Anasema mzee wa ubungo ni tapeli wa kutupwa na ni mtu wa system.

Kuhani Moses wa temboni anadai amewahi kufukia jeneza uwanjani Mbagala akaweka alafa kwenye mkutano akafukua kama amagundua uchawi.

Analalamika yeye ametimuliwa kwa sababu ameweka kiingilio cha 500K kumuona wakati jamaa wa Temboni anakiingilio hadi cha 5,000,000. Wengine 1,000,000.

Anadai hajafukuzwa na Serikali bali wenzake walimuonea wivu maana alikuwa anakaribia kuikausha kawe.

Wakuu hii imekaaje. Jamaa anaongea kana kwamba Injili yake inawataka watanzania tu kwingine kafeli. Je, Bongo ndio wateja wakubwa wa injili ya mwendokasi na wepesi kutoa pesa za upako?
mzee wa ubungo kibangu, mzee wa konyagi hilo linajulikana. kuhani ni mchawi kabisa pale temboni. wengine waliojaza uwanja juzi ni maajenti wa shetani kabisa. wa arusha ni nyoka kabisa. kuweni makini na hao manabii na mitume wa kisasa, ni fake, msipoteze nao muda. nao wanajiita walokole, na wameletwa na shetani kuchafua ulokole. cha kushukuru Mungu kwenye umoja wa kilokole wamekataa kuwa pokea na kuwatambua, wanao umoja wao. kwa hiyo msituchanganye nao.
 
Back
Top Bottom