Kiboko ya Wachawi aamua kuwaanika manabii wenzake, lengo ni nini?

Hivi ilitokea vipi kwa ndugu zetu mkaanza kuamini "watu binafsi" badala ya taasisi?

Mad'hab sisi tunatafsiri kama school of thoughts! Faida ya kufuata mad'hab ni kuwa almost every issue ilikuwa ni debated na thousands of scholars kabla hakijawa adopted kutumika.

Why uamini hawa vijana wajasiliaali na public speakers kuwa watakupa uongofu? Why kwenye mad'hab established hakuna vyeo vya unabii, utume, ukuhani?
 
Mazwazwa na mafukara ya kutapeliwa bado ni wengi nchi hii.

Acha wajanja wapige hela.

Ukristo ni biashara, Yesu ni Bidhaa, Waumini ni Wateja, Viongozi wa makanisa ni Wanufaika.

Christianity is a business, Jesus is the product, Church members are the customers, Religious leaders are the beneficiaries.
 
Umeeleza vizuri
 
acha wadalilishane wakimaliza watasema
 
Ni kweli hao hutoza hela watu wanaotaka kuonana nao?
 
😀 😀 kiboko ya wachawi kutimuliwa bongo imemuuma sana mapovu yanamtoka ila yule mwamba siku ya kwanza namsikiliza times fm nilishangaa sana
 
Inakuaje kuwahusisha watu system na upuuzi, yaani jamaa wa kawe ni system? Kwa hiyo system hufanya abrakadabra kwa wananchi? Halafu hiyo siyo injili, hao manabii wa viingilio vya hela, udongo, maji na mafuta hawahubiri injili
Kwa usalama wa nchi kila nyanja wapo!
 
Wakuu hii imekaaje. Jamaa anaongea kana kwamba Injili yake inawataka watanzania tu kwingine kafeli. Je, Bongo ndio wateja wakubwa wa injili ya mwendokasi na wepesi kutoa pesa za upako?
Tuanze na Laurence Masha anasemaje
 
Weka video/Audio kwanza, tucomment kutokana na tulichosikia.
 
Cha kushangaza wakristo badala wajadili na kupambana na hao wapuuzi walio igeuza dini yao kuwa kichaka cha kutapeli watu ,wao wako bize kuanzisha rundo la nyuzi za kukejeli na kuwakashifu waisilam hapa jf.
Ukristo ni mpana sana, kuna madhehebu mengi lakini pia kuna hizo Ministry ambazo kwangu naona ndo kichaka cha makanjanja.
Alafu ujue makanjanja hata kwenye Uislam wamejaa, hao wanaoombea watu kwa malipo, kuwasafisha nyota, kuwaosha kwa maji ya nazi, maziwa na perfume ni makanjanja zaidi hata ya hawa unaowashambulia. Muhimu hapa ni kila mtu abaki na imani yake japo hao wa Ministry siwezi kuwaita Wakristo kama ambavyo nyinyi mnawakataa Mashia.
 
Jamaa wapuuzi sana,wanaacha kudili na matapeli wanaochafua dini yao,wapo bize na kobazi sijui kobaza
Na nyie si mdeal na matapeli wanaotumia Uislam kupiga pesa kama wakina shekh sharif majini na wenzie? Alafu vipi kuhusu Shia ni wenzenu au hamuwatambui?
 
Na katika Uislam pia ni hivyohivyo ni bidhaa na wakina Sharif Majini na wenzie wanaiuza vema
 
Mfa maji...
 
Haya madhehebu haya.. Duniani Ukristo ni Roman Catholic tu. Madhehebu mengine Mnapigwa.

Dini ni mbili... Ukristo kwa maana ya Roman Catholic na Uislam. Fullstop
 
Na nyie si mdeal na matapeli wanaotumia Uislam kupiga pesa kama wakina shekh sharif majini na wenzie? Alafu vipi kuhusu Shia ni wenzenu au hamuwatambui?
Ushasikia kuna manabii wa kiislam? Shehe sharrifu ni mganga wa kienyeji tu, mnatapeliwa shtukeni na ujinga wenu, mfano mimi nna mshkaji wangu maarufu ni muislam kabisa, ila kwasasa nae ni Nabii anapiga pesa za mazuzu jina lake maarufu linaanzia na IP, waislam wana ujinga wao lakini hakuna kundi la matapeli katika dini yao kama walivyo wakristo, tatizo la wakristo ni wepesi kuamini sana.

Dini ya kikristo inajinasibu ina wasomi wengi lakini cha ajabu wanatapeliwa na watu wa darasa la saba tu,tena kiulainii kabisa,

Ukiwambia kweli wanakuambia huko kwa manabii wengi wanaoenda ni waislam wavaa kobazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…