kosa lake ni nini mkuu?Serikali ya ccm ilishindwa nini kuzuia akaunti zake
Je? Si rushwa ilitembezwa na kumuacha aondoke baada ya kuwatapeli wananchi.
Alimtapeli mtu?si ni kwa mapenzi yao na wengine mikataba walisaini?Serikali ya ccm ilishindwa nini kuzuia akaunti zake
Je? Si rushwa ilitembezwa na kumuacha aondoke baada ya kuwatapeli wananchi.
Wee kilaza unaelewa maana ya kutapeli au umeshiba makande na kuanza kupumulia kila tundu?Alimtapeli mtu?si ni kwa mapenzi yao na wengine mikataba walisaini?
Wenyewe ndiyo walimuamini wakampelekea hela hiyo siyo jinai maana police kote Tanzania hakuna kituo kina kesi huyu jamaa.
Mkuu kilaza ni wewe uliyempelekea Mkongoman laki tano akuombee upate kazi nzuri gari nzuri nyumba nzuri na mke mzuri huku elimu ya maana kichwani huna wala kutumia nguvu zako ulizopewa na Mungu hutaki.Wee kilaza unaelewa maana ya kutapeli au umeshiba makande na kuanza kupumulia kila tundu?
Huyu amewafumbua macho wengi sana ambao wametapeliwa na wengine ambao wangetumbukia katika mtego huo!Hajafanya vizuri kabisa jamaa ni mjinga sana na mnakera kupita maelezo fakin annoying. Ndo maana kina adriz mjingamimi Accumen Mo Webabu Adiosamigo Malaria 2 hydroxo Jagina gammaparticles wanatudharau sana humu.
Yani siku nikikutana naye nikampiga ngumi za uhakika usoni na tumboni.
Umemsikia alivyosema?Mkuu kilaza ni wewe uliyempelekea Mkongoman laki tano akuombee upate kazi nzuri gari nzuri nyumba nzuri na mke mzuri huku elimu ya maana kichwani huna wala kutumia nguvu zako ulizopewa na Mungu hutaki.
Mimi usinishirikishe kabisa huko wala sihusiki ndugu yangu ila nyie hamkutapeliwa mlijipendekeza wenyewe msimsingizie jamaa kesi leo.
Waambie hao.Mtumishi yoyote real hawezi fanya huduma kwa gharama flani, hv watu wanawazaga nn? ushaona wap kazi ya imani ina price tag kwamba ukitaka umaskini utoke toa sh kadhaa ukitaka magonjwa sh kadhaa
Hadi lini zitatukaa sawa kwasababu kila kukicha watu wanarudia yale yale makosa ya upigaji.acheni mpk akili ziwakae sawa