Kiboko ya Wachawi aonekana DR Congo, awatambishia Watanzania kuwa anakula maisha. Asema amemisi zile laki tano za kiingilio

Kiboko ya Wachawi aonekana DR Congo, awatambishia Watanzania kuwa anakula maisha. Asema amemisi zile laki tano za kiingilio

Ukiona anapost sana ujue kimemuuma sehem zake za kupatia pesa zimefungwa
 
Hao wahuni wanakumbatiwa na serikali ya CCM ili kuendelea kuwapumbaza Watanzania. Ndiyo maana mtu kama Mwamposa, amepewa kabisa mpaka eneo la uwekezaji ili kuwaibia wananchi wajinga.
 
Serikali ya ccm ilishindwa nini kuzuia akaunti zake
Je? Si rushwa ilitembezwa na kumuacha aondoke baada ya kuwatapeli wananchi.
Alimtapeli mtu?si ni kwa mapenzi yao na wengine mikataba walisaini?

Wenyewe ndiyo walimuamini wakampelekea hela hiyo siyo jinai maana police kote Tanzania hakuna kituo kina kesi ya huyu jamaa.
 
Wee kilaza unaelewa maana ya kutapeli au umeshiba makande na kuanza kupumulia kila tundu?
Mkuu kilaza ni wewe uliyempelekea Mkongoman laki tano akuombee upate kazi nzuri gari nzuri nyumba nzuri na mke mzuri huku elimu ya maana kichwani huna wala kutumia nguvu zako ulizopewa na Mungu hutaki.

Mimi usinishirikishe kabisa huko wala sihusiki ndugu yangu ila nyie hamkutapeliwa mlijipendekeza wenyewe msimsingizie jamaa kesi leo.
 
Umemsikia alivyosema?
 
Mtumishi yoyote real hawezi fanya huduma kwa gharama flani, hv watu wanawazaga nn? ushaona wap kazi ya imani ina price tag kwamba ukitaka umaskini utoke toa sh kadhaa ukitaka magonjwa sh kadhaa
Waambie hao.

Nchi hii wajinga ni wengi sana na huo ndiyo mtaji wa wanasiasa na wapigaji wa kiimani kama huyu Kiboko ya wachawi
 
Back
Top Bottom