Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Nabii anaouwezo wakutengeneza 10 million kwa huduma ya kumuona tu biashara inalipa sana hiiEt nakumuona kuhani mussa et laki mbili dah kweli wajinga wengi yan biashara yoyote ukifanikiwa kuwashika wanawake bas ushatoboa maana mwaume kuingia mkenge simple kupitia huyo mwanamke
Lawama zote kwa Serikali ya CCM!CCM Ndiyo Tatizo Letu
Huyu dada atafutwe tena ili atoe maelezo upya 😂Wachana na sisi wewe
Wanawake ndo wanawapa hela sana maana wao n rahc kudanganyika pia wana matatizo mengi.Et nakumuona kuhani mussa et laki mbili dah kweli wajinga wengi yan biashara yoyote ukifanikiwa kuwashika wanawake bas ushatoboa maana mwaume kuingia mkenge simple kupitia huyo mwanamke
Kapaniki.Kaharibu sana kujisema hadharani,
Kwanza anazidi kujiweka matatizoni,pili anaharibu huduma za wachungaji wengine anafanya watu wakose imani
Robert Heriel Mtibeli anakwambia acha wendawazimu wapigwe laki 5 5.
😃😃
Hiyo fursa ukipata wewe haupigi
Katelekeza mke na mtoto bongo
😄Afungwe kwa kosa gani? Mukimfunga huyu na mkamwacha mwamposa dunia itawashangaa, maana wote ni matapeli,na utapeli wao una baraka za serikali, wajinga hawaishi,ni kama tu ngombe,kila siku tunakula nyama kwa sababu ngombe za kuchinja hazijawahi kupungua machinjioni.
Huyu watumwe wahuni tu wamsukume kinyesiHuyu jamaa sheria isimuache. Jeshi la polisi huyu kahujumu uchumi, atafutwe na interpol
Ushauri afungwe gereza za bongo
Tatizo anawaharibia mapastor wwnzake wa kikongo ambao wamejaa hapa nchini
Dah!Mwanangu kabisa(mshikaji) nae kapigwa kipumbavu 2milioni.
Kuja kusanuka anatuambia tukabaki tunacheka na kumuone huruma.
Ila hasira za kuchekwa alienda kumuashia dude nabii akamrudishia 1milion
Sasa utapeli wake umejidhihirisha kwa clip zilizowekwa na mtoa mada.Mimi simfahamu kiboko ya wanga, lakini napenda kufahamu, "Serikali haina dini", Sasa inafahamuje kama imani fulani ni fake au ipi Sio fake? Au sadaka ipi ikitolewa kwenye dhehebu fulani, ipi ni halali na ipi ni utapeli? Kama mtu kaenda kwenye dhehebu lolote na kutoa sadaka kwa hiyari, hajalaziishwa, kwanini serikali iingilie? Kama yeye anapambana na wachawi nao wachawi Wanatakiwa wapambane na wao kwenye ulimwengu wa roho, sio watetewe na serikali 🤔