Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Alipewa Airtime kuanzia serikali, chama na vyombo vyote vya utawala.Daaa,hizi dini hizi....eti kiboko wa wachawi
Ona Support anayopewa Mwamposa na Suguye.......kutoka.kwa chama na serikali?Kawalia sana wajinga
wajinga waliwaoooo
ona anavyowakejeli wabongo
sasa,mijitu mijinga hawasiki
kawatandika pesa,kawakanyagia wake na mademu pia
lazima alete dharau
Ova
BAbe weekend wapi??Wa Tz ndo watu pekee duniani wanaotapeliwa huku wanasema "Ameen"
Support ile ndiyo kinga yaoOna Support anayopewa Mwamposa na Suguye.......kutoka.kwa chama na serikali?
Lazima uhisi kuwa hawa jamaa jambo lao ni moja
Kuna Wasanii waliensa lazma waliliwa.....alikuwa mhuni tuKawala sana dada zetu huyu mwamba dah.
Kawalia sana wajinga
wajinga waliwaoooo
ona anavyowakejeli wabongo
sasa,mijitu mijinga hawasiki
kawatandika pesa,kawakanyagia wake na mademu pia
lazima alete dharau
Ova
Hana jeuri ya kutuma pesa huyu
Huyo hata kama akirudi tena leo,watamuamini tu tena.Uzuri tuliwaambia
Hawakusikia 😄
Ova
Wajinga Tanzania bado wengi sana.Huyo hata kama akirudi tena leo,watamuamini tu tena.
Huyu sio Mkristo ni tapeli anayetumia ukristo kutapeli watu. Na haishangazi wanaotapeliwa humo ni pamoja na Waislamu. Mnasahau jinsi wale Mashekhe walivyotumika kupitisha ajenda za yule mchungaji mcongo anayejichubua Arusha?Wakristo kwa kuibiwa hawajambo hlf ndo wanajikuta wasomi hhhhh usomi huu mtaendelea kuibiwa mpk basi
Inashangaza sana kuona wenzako ni wajinga ilhali nawe upo katika upotofu. Huko katika ukatoliki hauko katika ukristo pia. You are in another deep satanic cult of catholism and you also need deliverance.Wanaibiwa wajinga wajinga hakuna Mkristo anayejitambua ataamini (nitajizungumzia mimi Mkatoliki) kuna kupata ufalme wa Mungu gari nyumba nzuri just kuitikia tu “amen amen amen“ kutoka kwa mchungaji wa kikongo aliyejichubua anayekoroma kwenye mic.
Kwenye hilo banda la huyu mjanja mjanja kulikuwa kunaingia mpaka waislam wenzako wakitegemea atawapa maisha,ujinga tu wa watu.
Hili janga Kwa Sasa Sio la wakristo hata waislamu Lipo kubwa tu.Wakristo kwa kuibiwa hawajambo hlf ndo wanajikuta wasomi hhhhh usomi huu mtaendelea kuibiwa mpk basi
Kweli kabisa , wakristo tumefundishwa kuwajua hao matapeli.Wewe kinachokuuma ni usomi wa wakristu.Kwa taarifa yako wahudhiriaji wengi kwa kiboko ya wachawi na kwa Mwamposa ni Waislam
Jamaa anaitwa nani mkuu_Mwana sayansi mmoja wa anga pale NASA alikiri kabisa ni LAZIMA kuna nguvu kubwa ya uumbaji haiwezekaji system hasa hii ya mfumo wa jua ifanye kazi kwa usahihi miaka zaidi ya mabillioni."
We si umenikataaBAbe weekend wapi??
Povu ruksaaWewe kinachokuuma ni usomi wa wakristu.Kwa taarifa yako wahudhiriaji wengi kwa kiboko ya wachawi na kwa Mwamposa ni Waislam
😂😂😂Tapeli smart huyoHuyu jamaa sheria isimuache. Jeshi la polisi huyu kahujumu uchumi, atafutwe na interpol
Ushauri afungwe gereza za bongo