Kiboko ya Wachawi aonekana DR Congo, awatambishia Watanzania kuwa anakula maisha. Asema amemisi zile laki tano za kiingilio

Kiboko ya Wachawi aonekana DR Congo, awatambishia Watanzania kuwa anakula maisha. Asema amemisi zile laki tano za kiingilio

Daaa,hizi dini hizi....eti kiboko wa wachawi
Alipewa Airtime kuanzia serikali, chama na vyombo vyote vya utawala.

Kuna watu walisema kuwa Hawa Watumiahi Uchwara wanapeleka Mgao kwa wakubwa.

Hii inaweza kuwa kweli.

Hapo Buza Kwa Lulenge jamaa anaweza kukusanya 15M in One Session.

Bila investiment yoyote hii faida hata Mo Dewji haipati viwanda vyake vyote.
 
Kawalia sana wajinga
wajinga waliwaoooo
ona anavyowakejeli wabongo
sasa,mijitu mijinga hawasiki
kawatandika pesa,kawakanyagia wake na mademu pia
lazima alete dharau

Ova
Ona Support anayopewa Mwamposa na Suguye.......kutoka.kwa chama na serikali?

Lazima uhisi kuwa hawa jamaa jambo lao ni moja
 
Huyo hata kama akirudi tena leo,watamuamini tu tena.
Wajinga Tanzania bado wengi sana.

Ukichanganya na watu hawataki kutoka jasho kutafuta chochote kitu basi wakijitokeza watumia fursa kama hawa wanafanya kujiokotea tu midondo.yupo mmoja Mbezi Msuguli misukule inapishana pale kumpelekea hela eti amewapa baraka,mtume awape baraka na Mungu kazi yake nini?watu bongo zimelala.
 
Wakristo kwa kuibiwa hawajambo hlf ndo wanajikuta wasomi hhhhh usomi huu mtaendelea kuibiwa mpk basi
Huyu sio Mkristo ni tapeli anayetumia ukristo kutapeli watu. Na haishangazi wanaotapeliwa humo ni pamoja na Waislamu. Mnasahau jinsi wale Mashekhe walivyotumika kupitisha ajenda za yule mchungaji mcongo anayejichubua Arusha?

Hizi taasisi za dini zinasajiliwa na wizara ya mambo ya ndani ila wakishazisajili hawashughuliki nazo kuona kama zinafanya malengo waliyosajili.

Wengi wa wachungaji wa aina hiyo ni waganga na matapeli. Na huo upande mwingine wapo kama wale wanaojiita Shariff majini na wenzie.
 
Hakika mola wetu mlezi katuumba na fahamu na utashi ili vituongoze katika kheri kwenye safari ya maisha......Yule ambaye ataziweka kando fahamu zake na kutawaliwa au kuongozwa na matamanio basi atapata madhara......
 
Wanaibiwa wajinga wajinga hakuna Mkristo anayejitambua ataamini (nitajizungumzia mimi Mkatoliki) kuna kupata ufalme wa Mungu gari nyumba nzuri just kuitikia tu “amen amen amen“ kutoka kwa mchungaji wa kikongo aliyejichubua anayekoroma kwenye mic.

Kwenye hilo banda la huyu mjanja mjanja kulikuwa kunaingia mpaka waislam wenzako wakitegemea atawapa maisha,ujinga tu wa watu.
Inashangaza sana kuona wenzako ni wajinga ilhali nawe upo katika upotofu. Huko katika ukatoliki hauko katika ukristo pia. You are in another deep satanic cult of catholism and you also need deliverance.
 
Back
Top Bottom