Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Alipewa Airtime kuanzia serikali, chama na vyombo vyote vya utawala.Daaa,hizi dini hizi....eti kiboko wa wachawi
Kuna watu walisema kuwa Hawa Watumiahi Uchwara wanapeleka Mgao kwa wakubwa.
Hii inaweza kuwa kweli.
Hapo Buza Kwa Lulenge jamaa anaweza kukusanya 15M in One Session.
Bila investiment yoyote hii faida hata Mo Dewji haipati viwanda vyake vyote.