Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkishakunywa wanzuki zenu huko vilabuni ndivyo mnavyo danganyana._Mwana sayansi mmoja wa anga pale NASA alikiri kabisa ni LAZIMA kuna nguvu kubwa ya uumbaji haiwezekaji system hasa hii ya mfumo wa jua ifanye kazi kwa usahihi miaka zaidi ya mabillioni."
Huyu jamaa alitakiwa apewe kesi moja akae jela kama mwaka1 apate akili.Kawalia sana wajinga
wajinga waliwaoooo
ona anavyowakejeli wabongo
sasa,mijitu mijinga hawasiki
kawatandika pesa,kawakanyagia wake na mademu pia
lazima alete dharau
Ova
Kimewalamba🤭Uzuri tuliwaambia
Hawakusikia 😄
Ova
Kabisa Tena vizuri tuHuwezi amini huyo jamaa ikitokea akarudi tena bongo atapata mazuzu ya kumpa pesa
Alimuita mtu si mlienda wenyewe 😁😁😁Huyu jamaa sheria isimuache. Jeshi la polisi huyu kahujumu uchumi, atafutwe na interpol
Ushauri afungwe gereza za bongo
Huyu alikosa kinga tu ya viongoziKimewalamba🤭
Sana,uchoyo umemponzaHuyu alikosa kinga tu ya viongozi
Alikuwa hatowi mgawo angewapa
Ganji angejipigia mpaka sahv
Ova