To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
🤣🤣🤣🙌Arudi awauzie vipodozi wabongo
😄
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🙌Arudi awauzie vipodozi wabongo
😄
Ova
Wewe kinachokuuma ni usomi wa wakristu.Kwa taarifa yako wahudhiriaji wengi kwa kiboko ya wachawi na kwa Mwamposa ni WaislamWakristo kwa kuibiwa hawajambo hlf ndo wanajikuta wasomi hhhhh usomi huu mtaendelea kuibiwa mpk basi
ILi mwamposa aendelee kuwapiga?Huyu jamaa alitakiwa apewe kesi moja akae jela kama mwaka1 apate akili.
Wote walewale juzi kuna jambo tumefanya na wife limefanikiwa. Sasa ktk kupongezana nae akaniambia anapeleka 50k kwa huyo mnyaki.. aisee kidogo nimzabue nimemwambia jambo ambalo nimepanga mimi na kukushirikisha wewe usimamizi nifanye mimi zawadi umpe mwamposa..ILi mwamposa aendelee kuwapiga?
Mkuu kahujumu uchumi gani huyu?hajawahi kumkaba mtu walikuwa wanampa wenyewe wa kufungwa ni hao wanaoteka watu kuwauwa na kuwatelekeza maporini huyu jamaa alikuwa nabii (japo fake) wa kizazi cha leo.Huyu jamaa sheria isimuache. Jeshi la polisi huyu kahujumu uchumi, atafutwe na interpol
Ushauri afungwe gereza za bongo
Watu wamekufa sana kwa ajili yake. Huoni?Mkuu kahujumu uchumi gani huyu?hajawahi kumkaba mtu walikuwa wanampa wenyewe wa kufungwa ni hao wanaoteka watu kuwauwa na kuwatelekeza maporini huyu jamaa alikuwa nabii (japo fake) wa kizazi cha leo.
Alikuwa anatimiza wajibu wake wa kuwaamsha Watanzania wazembe na wavivu kutoka usingizi mzito wa imani tafuta miujiza wakitegemea kununua baraka ya utajiri kutoka kwa mchungaji wa kikongo badala ya kusubiri wakati wa Mungu,as for me natamani leo kesho arudi naona bado wajinga hawajaisha nchi yaani bado wapo wengi sana.
Wanaibiwa wajinga wajinga hakuna Mkristo anayejitambua ataamini (nitajizungumzia mimi Mkatoliki) kwamba kuna kupata ufalme wa Mungu gari na nyumba nzuri just kwa kuitikia tu “amen amen amen“ kutoka kwa mchungaji wa kikongo aliyejichubua anayekoroma kwenye mic.Wakristo kwa kuibiwa hawajambo hlf ndo wanajikuta wasomi hhhhh usomi huu mtaendelea kuibiwa mpk basi
Mkuu wale hawakuwa wajinga maana kama wajinga wangejifunza wale walikuwa ni wapumbavu.Watu wamekufa sana kwa ajili yake. Huoni?
Kweli wajinga walipigwa ila wanapaswa kulindwa
Jamaa kawapiga sana kupitia Endorsement ya CCM.
Mkataba ulikuwa kwa watu ambao wanaweza kudai wametapeliwa. Huyo jamaa kuna mtaalam alimshauri, ukisaini mkataba maana take umetoa kwa Hiari na hakuna Kesi baada ya Hapo.Mkuu wale hawakuwa wajinga maana kama wajinga wangejifunza wale walikuwa ni wapumbavu.
Hivi kweli unaenda kumuona mtumishi wa Mungu unadaiwa ada Tsh 500,000/= na unasainishwa contract kwamba unachoenda kuomba/ombewa kama hakikufanikiwa huna haki ya kudai hela yako na unakubali huo si uganga kabisa huo?na kama huna humuoni so yeye nani yeye ndiye Mungu au?wajinga kabisa arudi azidi kuwatia njaa.
Bongo uje na akili tu. Pesa ipoHuyu jamaa sheria isimuache. Jeshi la polisi huyu kahujumu uchumi, atafutwe na interpol
Ushauri afungwe gereza za bongo