Kiboko ya Wachawi aonekana DR Congo, awatambishia Watanzania kuwa anakula maisha. Asema amemisi zile laki tano za kiingilio

Mwenyezi Mungu na ajue jinsi ya kumhukumu kwa wizi wake kwa njia ya ulaghai.
Wote tuseme : Amina.
 
Amechukua Hela za maumivu bila huruma 😭
Wale wenye shida ambazo zilikuwa sugu uwezo Mdogo Halafu ukawapiga Hela zao Mwenyezi Mungu anajua jinsi ya kukupasua?!
 
ILi mwamposa aendelee kuwapiga?
Wote walewale juzi kuna jambo tumefanya na wife limefanikiwa. Sasa ktk kupongezana nae akaniambia anapeleka 50k kwa huyo mnyaki.. aisee kidogo nimzabue nimemwambia jambo ambalo nimepanga mimi na kukushirikisha wewe usimamizi nifanye mimi zawadi umpe mwamposa..

Nilimpa maneno nikamwambia marufukuuu
 
Huyu jamaa sheria isimuache. Jeshi la polisi huyu kahujumu uchumi, atafutwe na interpol

Ushauri afungwe gereza za bongo
Mkuu kahujumu uchumi gani huyu?hajawahi kumkaba mtu walikuwa wanampa wenyewe wa kufungwa ni hao wanaoteka watu kuwauwa na kuwatelekeza maporini huyu jamaa alikuwa nabii (japo fake) wa kizazi cha leo.

Alikuwa anatimiza wajibu wake wa kuwaamsha Watanzania wazembe na wavivu kutoka usingizi mzito wa imani tafuta miujiza wakitegemea kununua baraka ya utajiri kutoka kwa mchungaji wa kikongo badala ya kusubiri wakati wa Mungu,as for me natamani leo kesho arudi naona bado wajinga hawajaisha nchi yaani bado wapo wengi sana.
 
Watu wamekufa sana kwa ajili yake. Huoni?

Kweli wajinga walipigwa ila wanapaswa kulindwa
 
Wakristo kwa kuibiwa hawajambo hlf ndo wanajikuta wasomi hhhhh usomi huu mtaendelea kuibiwa mpk basi
Wanaibiwa wajinga wajinga hakuna Mkristo anayejitambua ataamini (nitajizungumzia mimi Mkatoliki) kwamba kuna kupata ufalme wa Mungu gari na nyumba nzuri just kwa kuitikia tu “amen amen amen“ kutoka kwa mchungaji wa kikongo aliyejichubua anayekoroma kwenye mic.

Kwenye hilo banda la huyu mjanja mjanja kulikuwa kunaingia mpaka waislam wenzako wakitegemea atawapa maisha,ujinga tu wa watu.
 
Watu wamekufa sana kwa ajili yake. Huoni?

Kweli wajinga walipigwa ila wanapaswa kulindwa
Mkuu wale hawakuwa wajinga maana kama wajinga wangejifunza wale walikuwa ni wapumbavu.

Hivi kweli unaenda kumuona mtumishi wa Mungu unadaiwa ada Tsh 500,000/= na unasainishwa contract kwamba unachoenda kuomba/ombewa kama hakikufanikiwa huna haki ya kudai hela yako na unakubali huo si uganga kabisa huo?na kama huna humuoni so yeye nani yeye ndiye Mungu au?wajinga kabisa arudi azidi kuwatia njaa.
 
Mkataba ulikuwa kwa watu ambao wanaweza kudai wametapeliwa. Huyo jamaa kuna mtaalam alimshauri, ukisaini mkataba maana take umetoa kwa Hiari na hakuna Kesi baada ya Hapo.
 
Back
Top Bottom