Kiboko ya Wachawi aonekana DR Congo, awatambishia Watanzania kuwa anakula maisha. Asema amemisi zile laki tano za kiingilio

Kiboko ya Wachawi aonekana DR Congo, awatambishia Watanzania kuwa anakula maisha. Asema amemisi zile laki tano za kiingilio

Mimi simfahamu kiboko ya wanga, lakini napenda kufahamu, "Serikali haina dini", Sasa inafahamuje kama imani fulani ni fake au ipi Sio fake? Au sadaka ipi ikitolewa kwenye dhehebu fulani, ipi ni halali na ipi ni utapeli? Kama mtu kaenda kwenye dhehebu lolote na kutoa sadaka kwa hiyari, hajalaziishwa, kwanini serikali iingilie? Kama yeye anapambana na wachawi nao wachawi Wanatakiwa wapambane na wao kwenye ulimwengu wa roho, sio watetewe na serikali 🤔
Jukumu kubwa la serikali ni kuhakikisha ustawi na usalama wa watu wake. Ukishalijua hilo hautapaswa tena kuuliza hili swali lako. Anachokifanya Paul Kagame kule Rwanda, ndicho kilipaswa kufanywa na viongozi wetu dhidi ya hawa wadhalimu na matapeli.
 
Back
Top Bottom