Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watakula kichwa soon, asidhani yupo salama, maana shetani hapendi kuumbuliwa.
Hata wasilamu wanaibiwa na kina Sule hata kiboko ya wachawi hakukosa waumini waislamuWakristo kwa kuibiwa hawajambo hlf ndo wanajikuta wasomi hhhhh usomi huu mtaendelea kuibiwa mpk basi
Jamaa alijipanga alikuja bongo 2019. Alionekana akitoa Zawadi ya Gari kwa Polisi Mkoa ya Temeke eti kwa kuimarisha ulinzi.Hana jeuri ya kutuma pesa huyu
Muuza vipodozi wa zamani
Sema namsifu kwa kuwapiga mambugila
Ova
Ni watanzania sio wakristo pekee.Wakristo kwa kuibiwa hawajambo hlf ndo wanajikuta wasomi hhhhh usomi huu mtaendelea kuibiwa mpk basi
Wala tumeshaachana yule mdarasalama mimi nilikuwa najikombaWe si umenikataa
Hana usmart wowote, mjinga tu😂😂😂Tapeli smart huyo
Kaja katapeli hadi vigogo wastaafu we unaweza 😂Kwa upande wangu naona jamaa utafutaji anaujuaHana usmart wowote, mjinga tu
Kwahiyo mi umenifanya wa akiba hadi uachane nae ndo unikumbuke?Wala tumeshaachana yule mdarasalama mimi nilikuwa najikomba
Acha kusumbua serikali kwa mambo ya kijinga. Mijitu kwa ujinga wao ipigwe serikali ihangaike.Huyu jamaa sheria isimuache. Jeshi la polisi huyu kahujumu uchumi, atafutwe na interpol
Ushauri afungwe gereza za bongo
Ila waliopigwa wakimuona anayoongea watakuwa wanaumia sana. Nao walipigwa kiboya sana, sijui tumelaaniwa na kitu gani sisi.Yule mshenzi alimpiga dada yangu laki 5 hivi hivi daaah inauma sana
Daaah, Serikali nayo ilichelewa sana kumtight huyu tapeli
Na bado wapo wengine wanaokula na serikali wataendelea kupiga vibunda vyenu mpaka ufahamu utavyowarudia.Ndo keshakimbia ivo afu ni juzi tu mwezi wa 7 tar 4
Changamoto ni pale viongozi na wanasiasa wanapokuwa wanasapoti huu upuuzi. Unawafanya hata baadhi ya wananchi kuingia mkenge. Rejea kinachoendelea KAWEWengine tuliitadhalisha jamii/nchi mapema sana..
Ni vile tu, hatuna vipaumbele Vya msingi.
Ningekua nabii nisingerudisha , ujinga wa watu ni pesa halafu sikumkaba kaleta mwenyewe.Mwanangu kabisa(mshikaji) nae kapigwa kipumbavu 2milioni.
Kuja kusanuka anatuambia tukabaki tunacheka na kumuone huruma.
Ila hasira za kuchekwa alienda kumuashia dude nabii akamrudishia 1milion
Kuna sehemu ya serikali haifanyi kazi yake ipasavyo ,huyu angeendelea kidogo tu angefanya kama yule wa Kenya aliyeua watu mamia na makumiDaaah, Serikali nayo ilichelewa sana kumtight huyu tapeli
Jukumu kubwa la serikali ni kuhakikisha ustawi na usalama wa watu wake. Ukishalijua hilo hautapaswa tena kuuliza hili swali lako. Anachokifanya Paul Kagame kule Rwanda, ndicho kilipaswa kufanywa na viongozi wetu dhidi ya hawa wadhalimu na matapeli.Mimi simfahamu kiboko ya wanga, lakini napenda kufahamu, "Serikali haina dini", Sasa inafahamuje kama imani fulani ni fake au ipi Sio fake? Au sadaka ipi ikitolewa kwenye dhehebu fulani, ipi ni halali na ipi ni utapeli? Kama mtu kaenda kwenye dhehebu lolote na kutoa sadaka kwa hiyari, hajalaziishwa, kwanini serikali iingilie? Kama yeye anapambana na wachawi nao wachawi Wanatakiwa wapambane na wao kwenye ulimwengu wa roho, sio watetewe na serikali 🤔