Kiboko ya wachawi: Vichwa vya Taifa kama Tundu Lissu yuko Gerezani na watu wengine wasio na Mchango wowote wako Uraiani

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
42,525
Reaction score
74,605
Nabii Dominiki Kiboko ya Wachawi aliyekuwa akiongoza kanisa lake kule Temeke Buza kwa Lulenge ameonekana akijipost video huku akicheka na kutoa maneno ya kejeli.

Mwenyewe anadai eti anashangaa sana na kusema dunia haiko fair.

Anasema haelewi wala haiingui akilini kuona Kichwa kama Tundu( Antamka Tundi) Lissu yuko gerezani na watu wasio na mchango wowote anataja( Kina Mwijaku) eti ndio wako Uraiani.

Anaonekana akikejeli na kutucheka kwenye account yake Facebook ambayo inasambaa kwa kasi.
 
Yuko sahihi
 
Kwahiyo mkuu wewe ulitaka apongeze kwa Lissu kuwa gerezani au sijakuelewa vizuri.
 
Hahaha watajua wenyewe wakiambiwa jifunzeni kujiombea hawawez

wanataka kutamkiwa tuu pokea gari, pokea mume

Umeanza lini tabia za kuhamisha magoli .

Zungumzia Mada iliyopo mezani

Je ni sahihi kuiweka Akili ya lissu Gerezani ?

Swala kiboko ya wachawi kuiba sadaka ni swala mtambuka mwakuwa maandiko yameruhusu wachungaji kula madhabauni kwakuwa according to bible.

Pale kawe watu wanauziwa udongo , maji , keki ,mafuta , ila hauwezi kusikia watu wakilalamika au mamlaka kuifunga hiyo huduma.

MTU anabeba udogo anaenda kuuza kid 😁
 
Hahaha mm sioni kosa la lissu Ila siwezi piga kelele mkuu, tuache tuu wakiamua watamtoa
 
Back
Top Bottom