Kiboko ya wachawi: Vichwa vya Taifa kama Tundu Lissu yuko Gerezani na watu wengine wasio na Mchango wowote wako Uraiani

Kiboko ya wachawi: Vichwa vya Taifa kama Tundu Lissu yuko Gerezani na watu wengine wasio na Mchango wowote wako Uraiani

Nabii Dominiki Kiboko ya Wachawi aliyekuwa akiongoza kanisa lake kule Temeke Buza kwa Lulenge ameonekana akijipost video huku akicheka na kutoa maneno ya kejeli.

Mwenyewe anadai eti anashangaa sana na kusema dunia haiko fair.

Anasema haelewi wala haiingui akilini kuona Kichwa kama Tundu( Antamka Tundi) Lissu yuko gerezani na watu wasio na mchango wowote anataja( Kina Mwijaku) eti ndio wako Uraiani.

Anaonekana akikejeli na kutucheka kwenye account yake Facebook ambayo inasambaa kwa kasi.
Nani alimpa cheo cha kichwa?
 
Ila kiboko ya wachawi alijua kuwapiga watu aseeh,

Ikabidi akajikirimu,
Na Hilo lilitokea Kwa sababu kadhaa
1. Jinsi Gani viongozi wa nchi somehow hawako serious
2. Ujinga bado unawatawala watu na sababu ni kunyimwa elimu
3. Nk
 
Ila kiboko ya wachawi alijua kuwapiga watu aseeh,

Ikabidi akajikirimu,
🤣🤣🤣🤣
Halafu asilimia kubwa (mwenyewe anasema zaidi ya 90) walikuwa hawa nyumbu wa lissu. Hivi hapa wamekuja mbio kujifariji......mapunguani kweli haya🤣🤣🤣
 
Nabii Dominiki Kiboko ya Wachawi aliyekuwa akiongoza kanisa lake kule Temeke Buza kwa Lulenge ameonekana akijipost video huku akicheka na kutoa maneno ya kejeli.

Mwenyewe anadai eti anashangaa sana na kusema dunia haiko fair.

Anasema haelewi wala haiingui akilini kuona Kichwa kama Tundu( Antamka Tundi) Lissu yuko gerezani na watu wasio na mchango wowote anataja( Kina Mwijaku) eti ndio wako Uraiani.

Anaonekana akikejeli na kutucheka kwenye account yake Facebook ambayo inasambaa kwa kasi.
Yupo sahihi sn
 
Kuna aina ya watu kwa kibali walichonacho na misimamo yao isiyoyumbishwa na rushwa unapoanza kushindana nao, unakuta wanatetewa na watu wengi.

Mfano Tundu Lissu....utasikia IDU, EU, nk
 
Hakika maana kuna MTU anauza udongo anasema ukinunua unaenda kuikomboa familia.
Dah Aisee wewe Acha na jirani yangu hapa karibu NI swahiba wangu pia nakwambia amefilisika nowadays sababu ikiwa ndo Huyo Huyo mwamba Mzee WA kuuza maji ya buku 2.


SASA huyu swahiba wangu yeye alikuwa ananunua galoni lita 5 Kwa elf 10 .asubui na usiku anayamwaga dukani kwake. Alianza kuyanunua 2020 mpaka SASA mtaji wote kwisha .
 
Back
Top Bottom