Mzee ngalauka
Senior Member
- Sep 29, 2024
- 173
- 296
siyo shetani tu, hata marehemu kuleeee makaburini wanatushangaaSio dunia tu hata Shetani mwenyewe anatushangaa
siyo shetani tu, hata marehemu kuleeee makaburini wanatushangaaSio dunia tu hata Shetani mwenyewe anatushangaa
😁😁😁😁🙌🏾Sio dunia tu hata Shetani mwenyewe anatushangaa
Sayansi ya mazingaombwe ya injiliIla kiboko ya wachawi alijua kuwapiga watu aseeh,
Ikabidi akajikirimu,
Hahahahahhaha kiboko ya wachawi ni hatare ogopa mwanaume anayejikirimu 😂😂🤣🤣🤣🤣
Halafu asilimia kubwa (mwenyewe anasema zaidi ya 90) walikuwa hawa nyumbu wa lissu. Hivi hapa wamekuja mbio kujifariji......mapunguani kweli haya🤣🤣🤣
Hahahaha htre sana niendelee kubaki tuu Rc MimiSayansi ya mazingaombwe ya injili
Apostle anapaka mkorogo na ana vaa macheni na utapeli mwingi MWINGI 😊Hahahaha htre sana niendelee kubaki tuu Rc Mimi
Hahahaha yaaan ma apostle wengi ni hatare na nusuApostle anapaka mkorogo na ana vaa macheni na utapeli mwingi MWINGI 😊
Nina dada mmoja alichukuliwa kwenda kutoa ushuhuda, akalipwa 15k nilikuwa naishi nae nyumba moja,Sasa ulijuaje kama watu wanapigwa?
PamojaOkay
Wewe ni Mbaguzi?Mm mshangao nilio nao ni kuona Samia (mzanzibari), ndiyo rais wa Tanganyika.
Ubaguzi wameuanzisha wazanzibari wenyewe. Huko kwao ni marufuku mtanganyika kupewa kazi, kununua ardhi na kugombea uwongozi wowote (namaanisha wowote).Wewe ni Mbaguzi?
Una uhakikaUbaguzi wameuanzisha wazanzibari wenyewe. Huko kwao ni marufuku mtanganyika kupewa kazi, kununua ardhi na kugombea uwongozi wowote (namaanisha wowote).
Wakiamua kufunga wajinga nchi itabaki na nani?Ni hatari sana
Tutajie mtanganyika ambaye ni rais, mbunge, mwakilishi ama sheha huko Zanzibar.Una uhakika
Ni utaratibu wa Katiba yaoTutajie mtanganyika ambaye ni rais, mbunge, mwakilishi ama sheha huko Zanzibar.
Tutajie mtanganyika anayemiliki ardhi hata mita moja huko Zanzibar.
Watabaki welevu tuWakiamua kufunga wajinga nchi itabaki na nani?
Watabaki welevu tu
Alimtabiria mtu fulani kuwa muda si mrefu ataenda kuinuliwa na kuwa mtu mkubwa Tena. Naona Kwa utabiri huo kaamua kuchukua fomu...Ila kiboko ya wachawi alijua kuwapiga watu aseeh,
Ikabidi akajikirimu,
wakati mwingine sio kwamba hawana karama wanaweza kuwa nazo lakini, binadamu hatuna kiasi ni kuwaka tamaa jambo linalofanya kwenda nje na misingi ya imani na kuonekna mwizi na TAPELIAlimtabiria mtu fulani kuwa muda si mrefu ataenda kuinuliwa na kuwa mtu mkubwa Tena. Naona Kwa utabiri huo kaamua kuchukua fomu...