Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Yaani Mwaka huu hadi Mawe yataongea.Sio yeye TU, dunia nzima inatushangaa.
Sio dunia tu hata Shetani mwenyewe anatushangaaSio yeye TU, dunia nzima inatushangaa.
Hahaha...Sio dunia tu hata Shetani mwenyewe anatushangaa
Ila kiboko ya wachawi alijua kuwapiga watu aseeh,
Ikabidi akajikirimu,
Aliwapiga sana. Maana watz wanapenda sana vitu na maisha mepesi.Ila kiboko ya wachawi alijua kuwapiga watu aseeh,
Ikabidi akajikirimu,
Hahaha watajua wenyewe wakiambiwa jifunzeni kujiombea hawawez.ilibidi malalamiko Kama wayaongee waumini wake .
Hakuna aliyelalamika labda jamaa hakutoa mgao vizuri.ilibidi malalamiko Kama wayaongee waumini wake .
Siku hz yupo kwao huko Bukavu KongoAliwapiga sana. Maana watz wanapenda sana vitu na maisha mepesi.
Yuko sahihiNabii Dominiki Kiboko ya Wachawi aliyekuwa akiongoza kanisa lake kule Temeke Buza kwa Lulenge ameonekana akijipost video huku akicheka na kutoa maneno ya kejeli.
Mwenyewe anadai eti anashangaa sana na kusema dunia haiko fair.
Anasema haelewi wala haiingui akilini kuona Kichwa kama Tundu( Antamka Tundi) Lissu yuko gerezani na watu wasio na mchango wowote anataja( Kina Mwijaku) eti ndio wako Uraiani.
Anaonekana akikejeli na kutucheka kwenye account yake Facebook ambayo inasambaa kwa kasi.
Hahaha watajua wenyewe wakiambiwa jifunzeni kujiombea hawawez
wanataka kutamkiwa tuu pokea gari, pokea mume
Hakika maana kuna MTU anauza udongo anasema ukinunua unaenda kuikomboa familia.Hakuna aliyelalamika labda jamaa hakutoa mgao vizuri
Hahaha mm sioni kosa la lissu Ila siwezi piga kelele mkuu, tuache tuu wakiamua watamtoaUmeanza lini tabia za kuhamisha magoli .
Zungumzia Mada iliyopo mezani
Je ni sahihi kuiweka Akili ya lissu Gerezani ?
Swala kiboko ya wachawi kuiba sadaka ni swala mtambuka mwakuwa maandiko yameruhusu wachungaji kula madhabauni kwakuwa according to bible.
Pale kawe watu wanauziwa udongo , maji , keki ,mafuta , ila hauwezi kusikia watu wakilalamika au mamlaka kuifunga hiyo huduma.
MTU anabeba udogo anaenda kuuza kid π
HakikaHahaha mm sioni kosa la lissu Ila siwezi piga kelele mkuu, tuache tuu wakiamua watamtoa
Kiboko ya wachawi ni mjasiriamali Ila alichokosea ni kula peke yake.Hahaha mm sioni kosa la lissu Ila siwezi piga kelele mkuu, tuache tuu wakiamua watamtoa
Mbona alikuwa analipa watoa ushuhuda 15k au unamaanish bila kushirikisha mamlaka kuu ππ€Kiboko ya wachawi ni mjasiriamali Ila alichokosea ni kula peke yake.
Ni hatari sanaHakika maana kuna MTU anauza udongo anasema ukinunua unaenda kuikomboa familia.