Kiboko ya wachawi: Vichwa vya Taifa kama Tundu Lissu yuko Gerezani na watu wengine wasio na Mchango wowote wako Uraiani

Nani alimpa cheo cha kichwa?
 
Ila kiboko ya wachawi alijua kuwapiga watu aseeh,

Ikabidi akajikirimu,
Na Hilo lilitokea Kwa sababu kadhaa
1. Jinsi Gani viongozi wa nchi somehow hawako serious
2. Ujinga bado unawatawala watu na sababu ni kunyimwa elimu
3. Nk
 
Ila kiboko ya wachawi alijua kuwapiga watu aseeh,

Ikabidi akajikirimu,
🤣🤣🤣🤣
Halafu asilimia kubwa (mwenyewe anasema zaidi ya 90) walikuwa hawa nyumbu wa lissu. Hivi hapa wamekuja mbio kujifariji......mapunguani kweli haya🤣🤣🤣
 
Yupo sahihi sn
 
Kuna aina ya watu kwa kibali walichonacho na misimamo yao isiyoyumbishwa na rushwa unapoanza kushindana nao, unakuta wanatetewa na watu wengi.

Mfano Tundu Lissu....utasikia IDU, EU, nk
 
Hakika maana kuna MTU anauza udongo anasema ukinunua unaenda kuikomboa familia.
Dah Aisee wewe Acha na jirani yangu hapa karibu NI swahiba wangu pia nakwambia amefilisika nowadays sababu ikiwa ndo Huyo Huyo mwamba Mzee WA kuuza maji ya buku 2.


SASA huyu swahiba wangu yeye alikuwa ananunua galoni lita 5 Kwa elf 10 .asubui na usiku anayamwaga dukani kwake. Alianza kuyanunua 2020 mpaka SASA mtaji wote kwisha .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…