Kiboko ya wachawi: Vichwa vya Taifa kama Tundu Lissu yuko Gerezani na watu wengine wasio na Mchango wowote wako Uraiani

Nina dada mmoja alichukuliwa kwenda kutoa ushuhuda, akalipwa 15k nilikuwa naishi nae nyumba moja,
Alikuonyesha hizo pesa? Je hakuna aliyekushuhudia kapona uliyekuwa unamfahamu? Nenda mwenyewe kajionee sio kupata story toka Kwa mtu.
 
Kote kwa wapenda haki wanashangaa kusikitika kuwa wenye Akili maarifa wanataabika Gerezani huku chawaccm na mbowe wakitumia fursa hiyo kuwauza G55 kwa ccm ikawapachika chauma ubwabwa,Mbowe hana huruma mwenzake yupo jela yeye huku nyuma anaihujumu chadema
 
Hivi nabii hajui kuwa Tundu Lissu is on an heavenly mission?
Jamaa pale gerezani anapiga lectures kuelimisha dunia hadi mawakili wa serikali na jaji wa ccm wanakuwa compelled!
Ni vile tu wana simu wanapokea maelezo!
 

hali ya Congo ikoje? Anaweza kufananisha huko kwao na Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…