Kibonde afariki na mamilioni ya pesa za watu

Alizikwa huyooo?aliyedaiwa 30m

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka Raynavero tulienda kumzika hatimae ilipita saa na nusu wazee wameitana pembeni, marehemu alikuwa anafanya biashara flani na aliekua anajua ni mtoto wake wa miaka 12 miongoni mwa wana familia wote. Mpaka mke wa marehemu alivyopigiwa simu ndio akasema marehemu alikuwa anapenda sana kuongozana na kijana wake huyo na ndie anaejua kila kitu, wakati huo huyo kijana alishatangulia makaburini. Mpaka kuja kupelekwa boda boda imfate, kuja kueleza fedha ilipo. Aiseee
 

una roho ya nyau kabisa unawaza hela tu, kwani alipenda kufaaa
 
Wewe sio kila I'd humu ni ya kiume huyo ni mdada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walah nimeshindwa kumtafakari mtoa mada.
 
Kuna swali huwa linaulizwa kwenye misiba ingawa sio zuri,swali lenyewe ni..'kuna yeyote aliyekuwa akimdai marehemu?'.Nadhani kwa wale waliokuwa wakidai ni vizuri hilo deni wakalifuta kuliko kuendelea kudai kwa ndugu au jamii iliyobaki.
 
Duuuu we jamaa una roho ngumu sana yaani pamoja na mtu kufariki bado unakumbuka noti?
In God we trust
 
Jamani tuwe na utu basi.

Mtu amefariki hata kuzikwa bado, Watu wapo kwenye simanzi mnawaza pesa daah!!

Pesa ina thamani gani mbele ya uhai wa mtu?
Vitu vingine hata kuvizungumzia ni aibu.
Tuache unafiq. Tunaishi kibepari. Mtu keshakufa kuna utu gani ndani yake. Ndio ana pesa za watu, ni haki yao kulipwa. Msiba hauwahusu. Utu ni pale anapokuwa hai, akishakufa hakuna utu. Na kwa waliofiwa....walipe kama kuna ushahidi. Utu pelekeni huko.

Sent using my Nokia Torch
 
Badala ya kuwazia watoto wake wataishije bila baba wala mama we unawaza pesa za advance za UMC? tenq sio zako....Loh!!!
 

Mtoa mada Anashangaza kwakweli. Anaongea as if hizo hela marehem atazikwa nazo kaburini na kwenda kuspend huko Akhera.
 
Umenena vyema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio hapo watanzania tujifunze kusaini kwenye makaratasi hata pesa kidogo tunayolipa au kupokea. Makubaliano yanayohusu pesa bila kusaini mkataba iko siku utakula hasara.

Only educated ones will do that


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwahiyo ulitaka kusema azirudishe ili huko aendako asije akazitumia au?
 

hivi huyu mtoa sredi alifikiria nini in the first place?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…