Dharra
JF-Expert Member
- Jun 23, 2017
- 1,661
- 2,963
Doooh!!!! mi najua JF wote ni wanaume tu, sorry sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kusearch topic nilizochangia ukagundua jinsia yanguzeshchriss ili siku ya pili nisije kosea, wewe ni ke au me?
Poleni sana na msiba wa Kibonde.
Najaribu kuwaza, Kibonde ni MC wa masherehe mbali mbali. Kuna wakati tulitaka kumbook tukakuta imekuwa full booked kwa jumamosi za takribani miezi minne mbele.
Sasa najaribu kujiuliza, endapo marehemu alikuwa amepokea advance (kishika uchumba) kwaajili ya kuwa MC kwenye harusi za watu, je pesa hizo ndugu zake watarudisha? Waliolipa kwa Mpesa Tigo Pesa au bank atleast wapo salama. Je, vipi kwa waliolipa cash? Yani walionana na marehemu kisha wakalipa na hawakuandikishiana popote pale
Kwa uhodari na jina alilokuwa nalo Kibonde kwenye ushehereshaji basi yawezekana kabisa kuwa atakuwa amefariki na pesa nyingi za watu waliotoa advance.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
AhhahahahajaDoooh!!!! mi najua JF wote ni wanaume tu, sorry sana
Mmenifurahisha sana kwa hiyi hata mi ulijua ni me?Mama Sabrina badala unisaidie unanicheka!!!
ndo iko jamii forum?Ila msibani si huwa kuna session ya kuita wadai na wadaiwa?
Mln 7 tu na walimpaaa jamaa alijilipa kwa kujichukulia kamari badala ya mln 7
Kwa Waislamu, kama unadai unatakiwa kujitokeza ili, ama uendelee kudai pesa yako au usamehe na ijulikane umesamehe! Anyway, unaweza usijitokeze na ukasamehe kwa dhati kabisa kimoyo moyo lakini sio unaacha kujitokeza kwa kuona nishai kumdai marehemu mbele za watu ili hali bado pesa/mali yako unaitaka!Ni Mara chache sana wanaodai wanatokea!
Kuna jamaa yangu mmoja kauzu kweli kuna msiba mmoja watu Wako makaburini pale waliposema Je kuna mtu mtu yoyote anayemdai marehemu jamaa aliibuka [emoji23]
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama vp unaona Hali si Hali unadai tuuKwa Waislamu, kama unadai unatakiwa kujitokeza ili, ama uendelee kudai pesa yako au usamehe na ijulikane umesamehe! Anyway, unaweza usijitokeze na ukasamehe kwa dhati kabisa kimoyo moyo lakini sio unaacha kujitokeza kwa kuona nishai kumdai marehemu mbele za watu ili hali bado pesa/mali yako unaitaka!