Stanley Mitchell II
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 970
- 1,323
Hiyo ni kua desperate sasa hivi harusi si inatakiwa iwe for family n friends?Huo utakuwa ni mchango wa rambirambi.
Concern yangu ni kwa watu ambao inabidi wahangaike kutafuta MC mpya kwa sherehe za karibuni.
Sasa kwenda kukodisha mamluki ama wale wakucheza viduku wanajiita eti groommates ..wat for?
Yani mm nina harusi afu nikodishe watu kwajili ya kucheza viduku ama kua mc ?? Like seriously?
Au ndo kama ile kenya wanakodisha watu wa kulia siku ya msiba!
Ndo mana ndoa hazidumu siku izi