Kibonde afariki na mamilioni ya pesa za watu

Kibonde afariki na mamilioni ya pesa za watu

Huo utakuwa ni mchango wa rambirambi.

Concern yangu ni kwa watu ambao inabidi wahangaike kutafuta MC mpya kwa sherehe za karibuni.
Hiyo ni kua desperate sasa hivi harusi si inatakiwa iwe for family n friends?

Sasa kwenda kukodisha mamluki ama wale wakucheza viduku wanajiita eti groommates ..wat for?

Yani mm nina harusi afu nikodishe watu kwajili ya kucheza viduku ama kua mc ?? Like seriously?

Au ndo kama ile kenya wanakodisha watu wa kulia siku ya msiba!

Ndo mana ndoa hazidumu siku izi
 
Ma MC wana chama chao ukienda kwao unamalizia deni unapewa MC mwingine hawana shida,kuna MC alifariki walimfanyia hivyo
Mh! Sasa shughuli ya uMC si ya ku render "personal services" ..unawezaje kumpa mtu mc mwingine iwapo anamtaka MC fulani???
 
Ndio maana kuna bidhaa inaitwa Life Insurance. Ilitakiwa kama unampa Kibonde milioni mbili, then unaenda pale kwenye kampuni ya bima unamkatia bima ya maisha ili kama akifa, basi ulipwe pesa yako na bima...
Hahah hawaezi kuelewa izo ishu maana ukikata life insurance watu wanadhani unamjambia mtu afe mapema!
 
Poleni sana na msiba wa Kibonde.

Najaribu kuwaza, Kibonde ni MC wa masherehe mbali mbali. Kuna wakati tulitaka kumbook tukakuta imekuwa full booked kwa jumamosi za takribani miezi minne mbele.

Sasa najaribu kujiuliza, endapo marehemu alikuwa amepokea advance (kishika uchumba) kwaajili ya kuwa MC kwenye harusi za watu, je pesa hizo ndugu zake watarudisha? Waliolipa kwa Mpesa Tigo Pesa au bank atleast wapo salama. Je, vipi kwa waliolipa cash? Yani walionana na marehemu kisha wakalipa na hawakuandikishiana popote pale

Kwa uhodari na jina alilokuwa nalo Kibonde kwenye ushehereshaji basi yawezekana kabisa kuwa atakuwa amefariki na pesa nyingi za watu waliotoa advance.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
wewe utakuwa mchaga tu, unawaza pesa badala ya kuomboleza na Kibonde mwenyewe hajazikwa!
Kifo chake ni act of God, hata bima huwa hazitoi fidia kwa majanga ya aina hiyo, tuwaachie watoto wake wapate pa kuanzia.
CMG waanzishe mfuko maalumu wa kuwasaidia watoto wa Ruge na Kibonde, tutawachangia.
 
Poleni sana na msiba wa Kibonde.

Najaribu kuwaza, Kibonde ni MC wa masherehe mbali mbali. Kuna wakati tulitaka kumbook tukakuta imekuwa full booked kwa jumamosi za takribani miezi minne mbele.

Sasa najaribu kujiuliza, endapo marehemu alikuwa amepokea advance (kishika uchumba) kwaajili ya kuwa MC kwenye harusi za watu, je pesa hizo ndugu zake watarudisha? Waliolipa kwa Mpesa Tigo Pesa au bank atleast wapo salama. Je, vipi kwa waliolipa cash? Yani walionana na marehemu kisha wakalipa na hawakuandikishiana popote pale

Kwa uhodari na jina alilokuwa nalo Kibonde kwenye ushehereshaji basi yawezekana kabisa kuwa atakuwa amefariki na pesa nyingi za watu waliotoa advance.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona haijazungumziwa mali ambazo yeye anadai kwa watu mbalimbali
 
Jamaa yangu nilijua umeshafanya uchunguzi unajua kwa hakika ana mamilion ya watu kumbe umeandikia kwa hisia za kukadiria.

wajuaje kama hawa walikua wanabook halafu wanalipa mbeleni..Wakati Mwingine vizuri kuheshimu familia za watu wakifiwa..Unadhani watoto wake wanajisikiaje wakiona heading Yako hii ambayo ni ya uongo tu..Huna uhakika kama anadaiwa.
 
BABA TUPAC leo umeongea jambo la muhimu mno, niliwahi kumuuliza mchungaji mmoja kuhusu hii sheria ambayo inatumika na waislamu baada ya kifo waislamu sharia ni kuwa hakuna kuzika mpaka marehemu asafishwe madeni yake yote, ndio maana kabla ya kumsalia inatangazwa `waumini sasa tunaenda kumsalia ndugu yetu na kumuombea dua, lakini kabla ya hapo kama kuna mtu yoyote anamdai marehemu aje hapa amalizane na ndugu zake` siku moja pale ilala msikitini alijitokeza jamaa anamdai marehemu milioni 30 ikawa kimbembe. Jirani yangu mchungaji aliniambia hata kwao pia ipo hio ila sema huwa inamezwa na uombolezaji na hakuna anaekumbushia. Kama ndugu wa kibonge ama msiba mwengine wowote mlipieni marehemu madeni yake au mkubali kuyabeba kwenye shingo zenu ili ndugu aende kwa bwana akiwa msafi.

Hapana shaka kuwa katika mambo ambayo yatamfaa mja baada ya kifo chake ni kuhakikisha kuwa katika mwisho wa uhai wake amesharejesha haki za watu, na aombe kwa wale ambao wana haki zao kwake wachukue haki zao hizo, au aliovunja heshima/ hadhi warejeshe heshima hizo kabla hajafariki au mfano wa mambo kama hayo au vinginevyo apate msamaha kutoka kwa watu hao.

Akishindwa kufanya hivyo kwa sababu nyingi mfano kwa udhaifu aliokuwa nao, au kwa maradhi yake au vile vile kutokuwepo wenye haki hizo, au kutokuwepo kwa haki hizo kwake yeye, ikiwa hali ndivyo hivyo ilivyo basi wakiwepo jamaa zake wenye kutaka kumnufaisha basi na watoe haki hizo na kuwapa wenyewe kabla ya kifo chake na ikishindikana lifanyike baada ya kifo chake.

Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa Sallam) amesema, “Mwenye haki ya nduguye kwake kamvunjia heshima na hadhi yake au ana deni la mtu basi na arejeshe haki hizo kabla ya kufika siku ambayo haitakubaliwa dinari au dirhamu yake, akiwa ana amali njema alizofanya basi zitachukuliwa amali hizo na kupewa huyo sahibu yake, ikiwa hana amali njema alizofanya basi atapewa maovu ya sahibu yake.”
 
Watanzania wengi sijui darasani na maishani tunafaulu vipi. Aliyetoa mada Sio Mdai hata useme pesa aina hisia. Na angekuwa Mdai hapa Sio Mahali pake, so hoja yako kuwa pesa haina hisia Au undugu hapa ni misplaced. Ni dalili ya Watu walio frustrated, wivu, kupenda na kuombea mabaya wengine. Kilicho moyoni ndo humtoka mtu. It’s very sad
Kuhusu kuwa misplaced ,Mtoa mada kaandika kama wanavyoandika watu wengine JF.issue haiepukiki ni swala la mda tuu msiba utaisha watu watarudi kwenye biashara na pesa zao.
 
Title na ulichokiandika haviwiani,acha kuleta habar za dhahania

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Maisha ni zaidi ya pesa!
Binadamu mwenzako amepoteza uhai, watoto wake, familia yake, wafanyakazi na marafiki wanamlilia, hata kuzikwa bado hajazikwa, wewe unachowaza ni uwezekano wa pesa za sherehe alizochukua kwamba zitapotea! Tujifunze kuwa na angalau chembe cha ubinadamu
Kuwa strict kwenye business haimaanishi wewe si binadamu
 
Poleni sana na msiba wa Kibonde.

Najaribu kuwaza, Kibonde ni MC wa masherehe mbali mbali. Kuna wakati tulitaka kumbook tukakuta imekuwa full booked kwa jumamosi za takribani miezi minne mbele.

Sasa najaribu kujiuliza, endapo marehemu alikuwa amepokea advance (kishika uchumba) kwaajili ya kuwa MC kwenye harusi za watu, je pesa hizo ndugu zake watarudisha? Waliolipa kwa Mpesa Tigo Pesa au bank atleast wapo salama. Je, vipi kwa waliolipa cash? Yani walionana na marehemu kisha wakalipa na hawakuandikishiana popote pale

Kwa uhodari na jina alilokuwa nalo Kibonde kwenye ushehereshaji basi yawezekana kabisa kuwa atakuwa amefariki na pesa nyingi za watu waliotoa advance.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ukichukua fedha ya watu na ukafariki tutanza kuuliza hayo mamilioni,hivi nawe unajiona una akili kweli,mbona benki zikifilisika na mabilioni hatusikii misemo ya kusema najaribu kuwaza,unawaza nini kaka,hata kama waliandikishiana,watadai maiti?
 
Ndio hapo watanzania tujifunze kusaini kwenye makaratasi hata pesa kidogo tunayolipa au kupokea. Makubaliano yanayohusu pesa bila kusaini mkataba iko siku utakula hasara.

MC Gharama Zake ni sh ngapi?
 
We boya mtu kafa unaanza kuulizia madeni si ukichaa huo!
 
Watanzania wengi sijui darasani na maishani tunafaulu vipi. Aliyetoa mada Sio Mdai hata useme pesa aina hisia. Na angekuwa Mdai hapa Sio Mahali pake, so hoja yako kuwa pesa haina hisia Au undugu hapa ni misplaced. Ni dalili ya Watu walio frustrated, wivu, kupenda na kuombea mabaya wengine. Kilicho moyoni ndo humtoka mtu. It’s very sad

ABSOLUTELY.....AND IF NOT MISTAKEN NI WANAUME WA DAR
 
Imetoka hiyo Mkuu wahusika wasamehe tu hiyo pesa badala ya kutaka kuifuatilia kwa ndugu zake ambao si ajabu hawajui chochote kuhusu makubalino husika.

Back
Top Bottom