Kibonde afariki na mamilioni ya pesa za watu

Hapo ndo unapoona umuhimu wa kudili na kampuni maana kampuni na mmiliki wa kampuni ni watu wawili tofauti
 

Simple mind. Pesa kitu gani bwana. Tupishe huko sisi tunaomboleza. Hiyo ni ajali kazini. Kwani kifo kinapiga hodi!!
 
Busara ni kusamehe tu, kwani hakupanga hilo.
 
Jamaa Pumbavu kweli, sisi tunaomboleza kumpoteza mpendwa wetu ww unakuja na ujinga ujinga hapa? Pesa ni kitu gani ndugu, hapa duniani kila kitu tunaacha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni Mara chache sana wanaodai wanatokea!
Kuna jamaa yangu mmoja kauzu kweli kuna msiba mmoja watu Wako makaburini pale waliposema Je kuna mtu mtu yoyote anayemdai marehemu jamaa aliibuka [emoji23]

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Waislamu, kama unadai unatakiwa kujitokeza ili, ama uendelee kudai pesa yako au usamehe na ijulikane umesamehe! Anyway, unaweza usijitokeze na ukasamehe kwa dhati kabisa kimoyo moyo lakini sio unaacha kujitokeza kwa kuona nishai kumdai marehemu mbele za watu ili hali bado pesa/mali yako unaitaka!
 
Kama vp unaona Hali si Hali unadai tuu
Upeewe chako

Ova


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…