Kibongo bongo, Kwa maslahi kiuchumi yupi ana nafuu kati ya mchezaji wa timu ya kawaida ligi kuu au msanii wa levo za kawaida?

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925
Kipato kiwe kinaingizwa kwa kazi yake tukiachana na kulelewa na mashuga mami, mishe nyeusi za kubeba ngada, mali za baba kwa watoto wa kishua zisihusike.

A. Mchezaji wa kawaida kwenye timu ya kawaida, mfano mchezaji awe anaichezea Kagera Sugar, Mtibwa, Mbeya city, Dodoma jiji, n.k.

B. Msanii wa kawaida kama kina Whozu, Young Lunya, Nuh Mziwanda, n.k
 
Kipato kiwe kinaingizwa kwa kaz yake tukiachana na kulelewa na mashuga mami, mishe nyeusi za kubeba ngada, mali za baba kwa watoto wa kishua zisihusike.

Sijui
 
Mchezaji ana afadhali, kila mwisho wa mwezi anapewa mshahara wake japo sidhani kama wanapewa yote.

Msanii anaweza maliza hata miezi 6 hajapata show. Tena hao wa kawaida ndo shida kubwa sana.
 
Bora uwe Lavava kuliko kuchezea Ifenyu FC. Nani atakulipa mshahara?
 
Mchezaji ana afadhali, kila mwisho wa mwezi anapewa mshahara wake japo sidhani kama wanapewa yote.

Msanii anaweza maliza hata miezi 6 hajapata show. Tena hao wa kawaida ndo shida kubwa sana.
Bora hata wee umeona hili.
 
Back
Top Bottom