Kibonzo cha Kipanya; hekima ni kuwaacha wote watoe hisia zao

Kibonzo cha Kipanya; hekima ni kuwaacha wote watoe hisia zao

Ni kawaida sana kuwa tofauti kimawazo lakini mwisho wa siku nyumba inayojengwa ni moja wala hakutakuwa na kugombania fito.
 
Huyu naye hana jipya, yeye na clouds yao wamepiga hela ndefu wapumbavu hao
Ndugu yangu ktk siku za usoni umekuwa overreactive .....punguza, hii ni JF, itakufrustraye usipocontrol your emotions. Sometime soma pita polpole.
 
Inasikitisha kuona kilio cha watanzania kilikuwa kuzuiwa kufanya umbeya na ushakunaku na kupika majungu ila furaha yao imerejea upya baada ya mama kuamua kuwaachilia wajiropokee watakavyo!
 
Back
Top Bottom